Tetesi: Bar ya Forty Forty Tabata imefungwa miezi zaidi ya 3, mmiliki yuko jela kesi za uhujumu uchumi


Paragraph ya tatu umeiandika kiushabiki sana. Jifunze ku-feel matatizo ya mwingine.
 
Paragraph ya tatu umeiandika kiushabiki sana. Jifunze ku-feel matatizo ya mwingine.
Kama alikwiba mali ya umma,afie huko huko,tena serikali ibinafsishe kila kitu na assets zilizopatikana baada ya yeye kuanza utakatishaji wa pesa,
USA,ukikamatwa na pesa chafu,pesa inakuwa mali ya federal government,na kila kitu ulichonunua kwa pesa ya wizi,kinachukuliwa,familia yako,inaweza,ikatupwa nje ya nyumba bila huruma.
 
Huyu kaiba mali ya umma wanataka tumuonee huruma, tumuombee, tumtakie mema, tuitake serikali imuachie, watu wa hivi wana akili kweli?
 
Bar imefungwa sababu ya corona,.itakarabatiwa soon then tutarudi.
Bar imefungwa au mmiliki ndio amefungwa?

Kwamba uongozi wa bar ulishindwa kujiendesha kisa boss kafungwa au namna gani?
 
Kakamatwa,-ila nadhani yuko nje now...japo sina uhakika na hilo
Hata sielewi mkuu.

Mshikaji wa Forty Forty amekamatwa miradi mingi ikiwa haijakamilika. Sijui na yenyewe imekamatwa au kusimamishwa na serikali ama lah.

Tusubiri tuone.
 
..ila huyo mwalafyale yuko vizuri tangu kitambo
Huo uzuri toka kitambo ni wa wizi pia.

Mtumishi gani wa serikali wa kiwango ambae mshahara tu unaweza kumpa ukwasi wa namna ile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…