Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Wale wapenzi wa bar maarufu Tabata Bima Junction mtakua mashahidi, hii bar imefungwa zaidi ya miezi 3. Awali watu wengi walidhani labda ni sababu ya Corona lakini sio kweli.
Mmiliki wa Forty Forty investments alikuwa ni mmoja wa wahasibu wa wizara ya utalii waliotafuna zaidi ya Billion 4 ambao Rais Magufuli aliamuru wakamatwe na kufikishwa mahakamani.
Sasa boss kubwa huyo yupo jela ananyea debe huku akipambana na kesi yake ya kuhujumu uchumi na kutakatisha pesa.
Paragraph ya tatu umeiandika kiushabiki sana. Jifunze ku-feel matatizo ya mwingine.