Tetesi: Bar ya Forty Forty Tabata imefungwa miezi zaidi ya 3, mmiliki yuko jela kesi za uhujumu uchumi

Alikuwa mfuasi wa chadema ?

Maana angekuwa mtu wa ccm , kesi wala isingekuwa kubwa kiasi hicho.
 
waseme wanataka shilingi ngapi wateja wake tutamchangia atoke
#fourtyfourtylifematter😛😛😛😛😛
 
Ameshindwa kuficha hisia(chuki) yake.
Nahii inatokana na watu wengi kudhani umasikini wao unaletwa na mtu flani kumbe ni wivu tu
Unasema Ameiba wew ulikuwepo au tujifunze kuwa nahuruma haya bar imefungwa yeye amefingwa familia yake inapata tabu je wew katika kipato chako umeongeza kiasi gani zilitokana na bar kufungwa na mwenye bar kufungwa
Fanya kazi tunza familia yako muombee mwingine maombi mema

Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Tabata Bima mbele kidogo kama unaenda segerea, mtaa unaitwa baracuda, happ ndio kuna malaya wa kufa mtu sasa hivi. Zamani palikua panaitwa copa cabana.

Mwambie kuna bar maarufu inaitwa The Great, yaani mambo yako huko..
 
Aiseeeee itakuwa Figisu za Mmiliki wa The Great tu!!
 
Alipe faini , mil 200 kati ya hizo bilioni, atolewe

Au akubali makosa haraka ili awahi kuingia katika orodha ya msamaha wa Rais mwakani...

Na awaahidi kujiunga CCM kama Deo Mwanyika
 
Wewe alokwambia familia yake inapata tabu ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…