Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Alikuwa mfuasi wa chadema ?Wale wapenzi wa bar maarufu Tabata Bima Junction mtakua mashahidi, hii bar imefungwa zaidi ya miezi 3. Awali watu wengi walidhani labda ni sababu ya Corona lakini sio kweli.
Mmiliki wa Forty Forty investments alikuwa ni mmoja wa wahasibu wa wizara ya utalii waliotafuna zaidi ya Billion 4 ambao Rais Magufuli aliamuru wakamatwe na kufikishwa mahakamani.
Sasa boss kubwa huyo yupo jela ananyea debe huku akipambana na kesi yake ya kuhujumu uchumi na kutakatisha pesa.
Maana angekuwa mtu wa ccm , kesi wala isingekuwa kubwa kiasi hicho.