Bar zilizofungiwa zatakiwa kulipa Faini Milioni Tano 5M kila moja ili ziruhisiwe kufanya biashara

Mlisha ontwa hamkusikia mkuu.. lipeni.
 
Hapa jirani kuna msikiti unaanza adhana saa kumi za usiku na mwingine saa kumi na moja.
Kuna shehe anapiga adhana halafu anaanza mawaidha usiku, mwingine anaaza vitisho kwa watakaokaidi kuamka, mwingine anaweka Kawaida. Hili nalo liangaliwe kuwe na kanuni ya kuanza adhana na nini kisifanyike ili wengine waendelee kuchapa usingizi.
 
Huu ni uhuni.

Oktoba 2025 siyo mbali.
 
Sisi hatutaki kelele tukienda bar miziki upigwe kwenye night club tu watanzania wataelewa lini

USSR
 
Kwa uzoefu wangu huyo Mkurugenzi au afisa yoyote aliyepo front lazima atapata anachokitafuta. Kufungia Bar 89 kwa mara moja sio jambo dogo. Kagusa pabaya mno. Wasichokijua biashara nyingi kubwa ni za hawa hawa viongozi wetu ila hawatokei front. NEMC wajitafakari.
 
Lazima watu wajuwe kufata taratibu
Bila kujali huyu ni nani na Ana cheo
Gani!

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…