Bar zilizofungiwa zatakiwa kulipa Faini Milioni Tano 5M kila moja ili ziruhisiwe kufanya biashara

Bar zilizofungiwa zatakiwa kulipa Faini Milioni Tano 5M kila moja ili ziruhisiwe kufanya biashara

Kwa uzoefu wangu huyo Mkurugenzi au afisa yoyote aliyepo front lazima atapata anachokitafuta. Kufungia Bar 89 kwa mara moja sio jambo dogo. Kagusa pabaya mno. Wasichokijua biashara nyingi kubwa ni za hawa hawa viongozi wetu ila hawatokei front. NEMC wajitafakari.

Kwahiyo watu waendelee kupigiwa kelele kisa ni za viongozi? Au ulimaanisha nini?
 
Back
Top Bottom