babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kuna siku bucket 6 zilienda kimasihara tu mbezi huko huko.Niliagiza bucket Juliana...nilikuwa nimekaa karibu na vijana kadhaa karibu ,Ile naangalia pembeni si wakachomoa vinywaji......kweli vijana wa uswahili wanaharibu Sana image ya hizi bar siku hizi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Niecheka saa7 hii hadi nimepaliwaWatu wanatafuta fursa we unawabania hama nenda Masaki, Mbezi Beach mbona pakawaida sana mkuu au umetoka Ludewa
Karibu kaites tbtKulikuwa na kiwanja fulani masaki mwisho jeshini pale kulikuwa na mishikaki sana
Kiwanja kilikuwa kimetulia sana walikuwa wanaenda watu fulani wanao jielewa
Kuna mazingira fulani ukiyaweka automatically watoto wenyewe wanapakimbia eneo
Ova
Kama unaelekea shule ya msingi Mwalimu Nyerere. Siku hizi kuna “kiwanja” fulani kinatazamana na hiyo shule huwa kinachanganya sana mwisho wa wiki.Pale Junction kutokea tangi bovu kama unaelekea kwa mboma katikati pale nakumbka
Mke wa e.mmry alikuwa na eneo kubwa ilikuwa shamba ,majirani pembeni walikuwa wakina mataka...
Watu walipoanza kuhamia huko nakumbka kulikuwa na uvamizi sana majumbani watu walingiliwa sana
Ova
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Niecheka saa7 hii hadi nimepaliwa
Kuna bar za malegend bado zipo dar ukienda bado unakalia viti vile vya chuma za longtime
Hakuna mambo ya bucket na mambo mengine
Mwendo wa vyombo tu
Ova
Kwa hiyo Ukitoka Ludewa ndo unakuwaje??.Watu wanatafuta fursa we unawabania hama nenda Masaki, Mbezi Beach mbona pakawaida sana mkuu au umetoka Ludewa
Shida ni Nini?,Hawalipi kodi?.Kwanza naunga mkono kauli ya RC mstaafu wa Mwanza kuwa "watu wanywe bia maana bia ni uchumi" Lakini pamoja na hilo siku za karibuni kumeibuka mfululizo wa bar ukanda wa mbezi beach ya chini hali inayopelekea mtaa kukosa utulivu hii imepelekea hata baadhi ya wasanii kuhama mjini sinza na kufata viwanja Mbezi beach.
Ongezeko la bar linaweza kuleta vitendo vya uhalifu, mapaka, madawa ya kulevya na kuharibu sifa ya mtaa. Bar zenyewe zinajaa watoto wa shule za kata wanyoa viduku na vidangaji vya kutoka uswahilini Kawe. Ukiondoa Oysterbay na Masaki mtaa unaofuatia kwa ustaarabu na makazi yenye utulivu ni Mbezi beach ila tunapoelekea sasa utakuwa mtaa wa fujo. Mwanzoni zilianza kumbi za sherehe, sasa hivi bar nani anajua kitakachofuatia?
Mipango miji tupeni jicho pande hizi kuna mitaa itunzwe na kuheshimiwa kama makazi mfano Mbezi beach, Mikocheni, Mbweni na Ununio na mitaa mingine ibaki ya starehe kama Sinza, kinondoni, Tabata n.k.
Baadhi ya bar hizo ni:
Rainbow
Juliana
Kidimbwi
Na nyingine nyingi siwezi taja zote wino utaisha.
Ktk hao kuna watoto wa kike??Watoto wengi mno tena wa uswahilini sijui hela wanatoa wapi hawa?
Kwani alikukosea Nini kikubwa??.Yule ni kichaa kabisa, wamefanya vema kumwondoa mapematena kwa aibu angeharibu nchi
Sijui amejificha wapi na mizigo yake
Niliagiza bucket Juliana...nilikuwa nimekaa karibu na vijana kadhaa karibu ,Ile naangalia pembeni si wakachomoa vinywaji......kweli vijana wa uswahili wanaharibu Sana image ya hizi bar siku hizi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hiyo iko segerea au tabata?Karibu kaites tbt
Kwani segerea iko wapi?!hiyo iko segerea au tabata?
Nilikuwa natafuta tu uhakika kama ndio hiyo kwa sababu siijui wala sijawahi kufika ila najua inakaribia kufungiwa muda si mrefuKwani segerea iko wapi?!
Kimanga, bima, kinyerezi, segerea zote zipo ndani ya tabata
Mrangi wewe ni mkazi wa pale nyuma ya BOT flats karibu na yule mzee mwenye nafasi kubwa ndani ya Chama tawala?.Hahaha
Jamaa kiboko
Ova
Hahaha wapi bana mm kwetu uswazi tuMrangi wewe ni mkazi wa pale nyuma ya BOT flats karibu na yule mzee mwenye nafasi kubwa ndani ya Chama tawala?.
Nyie wazee wa upanga si ndy mlipawahi mbezi beach naona mlitaka iwe kama upanga 😂😂Mrangi wewe ni mkazi wa pale nyuma ya BOT flats karibu na yule mzee mwenye nafasi kubwa ndani ya Chama tawala?.