Bar zinavyochipuka ukanda wa Mbezi Beach

Nyie wazee wa upanga si ndy mlipawahi mbezi beach naona mlitaka iwe kama upanga πŸ˜‚πŸ˜‚
Wale wa sinza walihamia tabata

Ova
Mzee alinunua eneo mbezi beach mwaka 1978 tshs 600πŸ˜‚πŸ˜‚. Enzi hizo pori tupu ukisimama kule beach unauona vizuri ule mbuyu wa kile kiwanja cha Mama Maria pale rungwe.

Tumetoka mbali.
 
Mzee alinunua eneo mbezi beach mwaka 1978 tshs 600πŸ˜‚πŸ˜‚. Enzi hizo pori tupu ukisimama kule beach unauona vizuri ule mbuyu wa kile kiwanja cha Mama Maria pale rungwe.

Tumetoka mbali.
Aise wazee walijuwa kulenga maeneo
Haha sema 600 ilikuwa tight
Mashuwa wengi wa upanga mchongo wa mbezi beach walipeana code wakawahi viwanja

Ova
 
Wakuuuu hakuna bar nzuri na tam kunywea,bear kama inayojaza ila jamani nimezunguka bar nyingi tipys kuna warembo anakukatikia mrembo mpaka stress zinaisha big up kwa warembo wote mnaotususiaga misambwana yenu
 
Juliana naona pamekuwa pa ovyo sana, rafiki yangu aliibiwa gari hapo miezi kama miwili iliyopita ila bahati nzuri gari ikaja kukamatwa mwenge,
Umeisahau Busca de la vida kwenye list
 
Pamoja na yoooooote hayo, bado Mbezi Beach itabaki kuwa Mbezi Beach tu, Oysterbay itabaki kuwa Oysterbay na Masaki itabaki kuwa Masaki tu.

Hao wachuuzi wanafuata tu wateja huku kwetu asubuhi na mchana, ikifika jioni wanajirudisha kwenye nyumba zao uswahilini sisi tunaendelea kula upepo tu.
 
Wakuuuu hakuna bar nzuri na tam kunywea,bear kama inayojaza ila jamani nimezunguka bar nyingi tipys kuna warembo anakukatikia mrembo mpaka stress zinaisha big up kwa warembo wote mnaotususiaga misambwana yenu
Kuna uhusiano mkubwa kati ya bar na mat*ko.
94.677% ya wahudumu huwa na Fildarus
 
Mzee alinunua eneo mbezi beach mwaka 1978 tshs 600πŸ˜‚πŸ˜‚. Enzi hizo pori tupu ukisimama kule beach unauona vizuri ule mbuyu wa kile kiwanja cha Mama Maria pale rungwe.

Tumetoka mbali.
Sometimes huwa inatokea trends tu na bahati.

Mfano sehemu kama Vijibweni lingekuwa la kishua sana, ila halikupimwa limegeuka Uswazi.

Ila kieneo kama Kijichi kimekuwa cha kishua. So, huwezi kusema eti kuna kupangwa. Sehemu nyingi zinajikuta tu ziko hivyo.

Leo baadhi ya wasanii wamejenga Tabata, mwishowe Tabata sasa hivi inakimbizana na Sinza.
 
Sio njaa yenu ndio imewafanya kila nyumba muweke fremu zinazogeuka bar? Hata Masaki nyumba za waswahili hasa waliokopeshwa na serikali ndio zimejaa fremu na kuleta vurugu. Mimi nakaa uswahili ila nimegoma kabisa kuweka hizo fremu kwasababu sitaki vurugu nje kwangu.
Watu wa mbezi beach,oysterbay wasingeendekeza njaa na kufungua vifremu kusingekuwa na vurugu huko, wakazi wa uswazi wanaokuja kunywa bia huko mnawaonea tu.
 
Pale kwenye vijumba vya tope,ukitokea chini mbweni kuja kutokea bunju
 
Cha ajabu kuna bar zingine zinazaliwa zinakufa na kufufuka tena haijakaa sawa zinazimia kwa muda then zinazinduka tena.

Bar zingine ni kama trekta zinajikokota weeee hazifi wala nini zipo zipo tu na hazina mbwembwe ndani yake ni kama kisiwa hivi hazifi wala hazizimii.

Zingine zilizaliwa kwa shangwe kama zote zikafa moja kwa moja.

Zingine zilizaliwa kwa majina ya mbwembwe kibao kubadilishiwa jina tu ndo kabisa wateja nduki zimebaki bidhaa hata hazitoki kwa wingi zinatoka kwikwi

Zingine zina sura za wazee mwanzo mwisho, ukiingia ndani kama wewe ni kijana lazima cha kwanza utoe shikamoo ndefu ndo wazee watakupa maneno ya mafumbo fumbo kuhusu maisha ndani kuanzia ndoa, michepuko sijui vituko za enzi za awamu kadhaa ukitoka hapo sasa kichwa kimejaa fikra za kizee zee acha tu hahahaha

Kifupi, kila bar zina tabia zake ndani yake kama zilivyo tabia tofauti tofauti za binadamu, daah!!
 
Ile pale Rafia kwa kina Mange Kimambi naona hata haileweki ipo au haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…