Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 374
- Thread starter
-
- #121
Kwa nini ukanunue mafuta Urusi wakati Nigeria hapo kwa Afrika ni nchi namba moja yenye reserve ya mafuta hapo sijaweka Algeria, Libya na nyinginezo ambazo tungekuwa na sarafu mmoja bila kutegemea Dollar ingekuwa chapuTushindwe kwenda Kununua mafuta Urusi ambayo Lita yanauzwa mpaka sh. 360 tuweze kuwa na sarafu yetu?
Kuwa na sarafu siyo tatizo.Hayo ni mawazo yako na yataheshimiwa... Lakini swala la kuwa na Sarafu moja ni la kila Muafrika na si watawala, tukiwa na sauti moja litawezekana ila kila mtu akiwa anala kwake mara huyu anasema haiwezekani hapo lazima tushindwe
Siyo confidential. Haufanyi biashara au kutoa huduma yoyote mtandaoni.Zingine ni confidential
Huko ndiko kufa maji kwenyewe.Lengo kuu la Sarafu ya Afrika ni kwa ajili ya kufanya biashara ndani ya bara la Afrika. Hivi leo ili ununue Nigeria kiatu inatakiwa uwe na Dollar, hivyo mnaijeria huyo kuliko kukuuzia kwa Dollar hiyo anaona bora akamuuzie mmarekani mwenyewe hili apate Dollar original kuliko kuunga unga biashara na wewe mtanzania mwenye Dollar ya kubangaiza... Sasa lengo la sarafu ya Afrika ni kuvunja huu mlango wa Dollar... Hata kama thamani ya Dollar itabaki pale pale hiyo sisi haituhusu, kinachotuhusu ni kuweza kufanya biashara zetu ndani ya Afrika bila kushawishiwa na Dollar
Ngoja nikueleweshe. Kwanini dollar inaliliwa na kila nchi na haikwepeki.Huko ndiko kufa maji kwenyewe.
Mimi ningeliwaona wa maana kama kila nchi ingeligoma kutumia dola kufanya biashara badala yake atumie currency yake ila siyo ku- monopolize kwa kuweka currency moja ili tunyonywe zaidi.
Dollar haikwepi. Utatengeneza hiyo hela yako ila kuna deni la dollar unatakiwa ulilipe. Sijui utalipa kwa mapesa yako ya hapa bongo au afric.Kwa nini ukanunue mafuta Urusi wakati Nigeria hapo kwa Afrika ni nchi namba moja yenye reserve ya mafuta hapo sijaweka Algeria, Libya na nyinginezo ambazo tungekuwa na sarafu mmoja bila kutegemea Dollar ingekuwa chapu
Hili swali nishakujibu huko juu... Sisi Africa hatufanyi biashara sisi kwa sisi kwa sababu nchi nyingi hazina Dollars za kutosha, na hili ufanye na nchi nyingine ya Afrika unatakiwa uwe na Dollar... Hivyo kuliko nchi ifanye biashara au iuze kitu kwa nchi nyingine Africa, basi inaona ni bora ikafute Dollar kwenye nchi za Marekani na ulaya kwa sababu ndizo zenye Dollar nyingiKuwa na sarafu siyo tatizo.
1. Je, sisi afrika tunafanya biashara gani baina yetu?
2. Mifumo yetu ya upokeaji na utumaji hela yanaruhusu?
3. Unatoa huduma au biashara gani mtandaoni?
Suala la uchumi ni la kila mtu na siyo serikali tu.
Nina wateja wengi tu kutoka Ghana, Nigeria, Morocco, Algeria, Guinea na mali.Hili swali nishakujibu huko juu... Sisi Africa hatufanyi biashara sisi kwa sisi kwa sababu nchi nyingi hazina Dollars za kutosha, na hili ufanye na nchi nyingine ya Afrika unatakiwa uwe na Dollar... Hivyo kuliko nchi ifanye biashara au iuze kitu kwa nchi nyingine Africa, basi inaona ni bora ikafute Dollar kwenye nchi za Marekani na ulaya kwa sababu ndizo zenye Dollar nyingi
Kuhusu mifumo ya upokeaji na utumaji hela hiyo ni kitu cha kawaida... Siku hizi hakuna kinachoshindikana Duniani hususani kwenye kutuma pesa
Hapa swala ni mfumo au ni pesa... Kama swala ni mfumo, mimi siongelei mfumo... Sasa kuna biashara gani mtandaoni au huduma isiyotumia Dollar, kila huduma hapa mtandaoni ni Dollar... Na Dollar ni barrier kwa baadhi ya huduma za barani Afrika endapo mwafrika wa nchi nyingine anataka kufanya biashara na mwafrika Mwingine...Siyo confidential. Haufanyi biashara au kutoa huduma yoyote mtandaoni.
Ungekuwa unafanya wala usingekimbilia kwenye sarafu.
Ungeanza na uboreshaji wa mifumo ya utumaji na upokeaji pesa mtandaoni wala siyo sarafu.
Mtu aliyeoko Ghana kukutumia 5,000 ikaja hapa Tanzania. Ni sawa na kujibeba.
Watu wanalalamika kukosa hela kwasababu ya mifumo mibovu ya upokeaji hela halafu wewe unaona suluhu ni sarafu.
Kama huwezi kufanya huduma na mtu aliyeoko Ghana au Nigeria, hiyo sarafu unayozungumzia haina maana yoyote
Yes unaona sasa... Nchi hizo zilikopa Dollar ili ziweze kujiendesha kwenye manunuzi ya kimataifa, hata hapa barani Afrika hili zinunue kitu zinapaswa kuwa na Dollars... Lakini tungekuwa na Sarafu moja kama Africa kusingekuwa na madeni makubwa hivyo ya Dollar au tusingeweza kwenda kukopa dollars kihivyo kwa sababu kwanza manunuzi yote ndani ya Afrika yangetumia sarafu ya Afrika badala ya Dollars, hivyo kupunguza huitaji wa Dollar, pili kutokana na rasilimali tulizonazo nchi nyingine zisizo za Afrika hili zinunue bidhaa au kupata huduma kwetu kama utalii zinatakiwa tufanye miamala kwa pesa zetu... Yani ni same process kama ilivyo Ulaya na wanavyotumia Euro, sasa ambacho amuelewi kuhusu sarafu ya Afrika ni kipiNina wateja wengi tu kutoka Ghana, Nigeria, Morocco, Algeria, Guinea na mali.
Njia gani naweza kupokea pesa cha thamani ya 5,000?
Nchi nyingi zinataka dollar kwasababu ina deni la dollar ambalo unatakiwa ulipe kwa Marekani kwa kurudisha dollar kwasababu ulikopa kwa dollar na usipolipa riba inaongezeka.
Una Afric, utalipaje deni la dollar?
Currency yetu ni dhaifu duniani... Nani anunue shillings wewe, sarafu ya Afrika itakuwa na nguvu kwa sababu bara la Afrika lina rasilimali nyingi... Sasa wewe unataka mzungu umuuzie mashilingi yako, akienda nayo ulaya akayauze wapi, si yatamuozea ndani apate athara... Tanzania Raslimali yetu kubwa ni Utaliii, sasa mzungu umlazimishe atumie mashilingi yako kisa kuona simba, lakini kwa sababu bara la Afrika lina rasilimali nyingi ata kukimuuzia mzungu mahindi hapa Tanzania kwa sarafu ya bara la Afrika bado akirudi nayo ulaya baada ya wiki kadhaa atarudi Afrika kule Congo kununua Almasi, madini ya Cobalt au nikel kwa hiyo hiyo pesa, hivyo pesa bado inakuwa na mzunguko.... Sasa wewe leo hii umuuzie mzungu na mashilingi yako akienda nayo Burundi wanayakataa waburundi nao watataka pesa yao ndio itumikeHuko ndiko kufa maji kwenyewe.
Mimi ningeliwaona wa maana kama kila nchi ingeligoma kutumia dola kufanya biashara badala yake atumie currency yake ila siyo ku- monopolize kwa kuweka currency moja ili tunyonywe zaidi.
Ulichoandika hukijui. Unaonekana haufanyi biashara au hutoi huduma yyte mtandaoni ndiyo maana unaandika kitu ambacho hukijui. Km kitu hukijui omba ueleweshe kwanza na siyo kuandika tu.Hapa swala ni mfumo au ni pesa... Kama swala ni mfumo, mimi siongelei mfumo... Sasa kuna biashara gani mtandaoni au huduma isiyotumia Dollar, kila huduma hapa mtandaoni ni Dollar... Na Dollar ni barrier kwa baadhi ya huduma za barani Afrika endapo mwafrika wa nchi nyingine anataka kufanya biashara na mwafrika Mwingine...
Unataka kufanya biashara mtandao kwa mashilingi yako unamuuzia nani hayo mashilingi yako, nani anunue mashilingi yako hapate athara, Dollar ndio pesa ya mabadilishano ya kitaifa, hili ununue kitu Ghana utaulizwa una dollar ngapi na hautaukizwa mashilingi yako, hivyo hivyo mtu kutoa Ghana alitaka kununua kitu Bongo ataulizwa ana Dollar ngapi na wala sio Ghananian Cedi...Ndio maana nikakwambia tungekuwa na sarafu mmoja kama jinsi Ulaya wanavyotumia Euro tungekuwa na unafuu... Sasa hapo uelewi nini... Ebu kabla ujaleta mada akikisha umesoma conversation za nyuma, maana narudia kusema yale yale
Sasa hivi mteja wako wa Ghana, Morocco, Nigeria Algeria, Guinea au Mali anawaza achukue pesa yake aibadilishe kuwa Dollar hili akitumie wewe hili umpatie huduma au kumuuzia kitu, bado na wewe akishakutumia hiyo pesa yake katika mfumo wa Dollar unatakiwa uibadilishe kuja kwenye shillings ili uweze kuitumia hapa Nchini kwenye mambo yako mbalimbali. Sasa hapa kungekuwa na sarafu mmoja ya Afrika si ingekuwa rahisi kuuza na kununua bila kutegemea kupanda au kushika kwa Dollars... Mfano kama kiatu kinauzwa Afro 50, yeye kule kule kutoka Ghana au Morocco anatuma hiyo hiyo Afro 50 mnamizana... Unaenda zako Zambia bila wasiwasi wa kutafuta Dollars kwenye mipaka ya nchi, nchi nyingi za kiafrika wageni wengi wanalipishwa kwa Dollars... Mtanzania akienda Nigeria anatakiwa awe na DollarsNina wateja wengi tu kutoka Ghana, Nigeria, Morocco, Algeria, Guinea na mali.
Njia gani naweza kupokea pesa cha thamani ya 5,000?
Nchi nyingi zinataka dollar kwasababu ina deni la dollar ambalo unatakiwa ulipe kwa Marekani kwa kurudisha dollar kwasababu ulikopa kwa dollar na usipolipa riba inaongezeka.
Una Afric, utalipaje deni la dollar?
Shida siyo sarafu shida niSasa hivi mteja wako wa Ghana, Morocco, Nigeria Algeria, Guinea au Mali anawaza achukue pesa yake aibadilishe kuwa Dollar hili akitumie wewe hili umpatie huduma au kumuuzia kitu, bado na wewe akishakutumia hiyo pesa yake katika mfumo wa Dollar unatakiwa uibadilishe kuja kwenye shillings ili uweze kuitumia hapa Nchini kwenye mambo yako mbalimbali. Sasa hapa kungekuwa na sarafu mmoja ya Afrika si ingekuwa rahisi kuuza na kununua bila kutegemea kupanda au kushika kwa Dollars... Mfano kama kiatu kinauzwa Afro 50, yeye kule kule kutoka Ghana au Morocco anatuma hiyo hiyo Afro 50 mnamizana... Unaenda zako Zambia bila wasiwasi wa kutafuta Dollars kwenye mipaka ya nchi, nchi nyingi za kiafrika wageni wengi wanalipishwa kwa Dollars... Mtanzania akienda Nigeria anatakiwa awe na Dollars
Kweli kabisaNyerere alikuwa na policy ambayo imepelekea Tanzania kuwa kama hivi Leo, kama angemsikiliza Kambona, tungekuwa mbali sana.
Kitakacholeta biashara baina yetu ni mahitaji. Je tunaweza kukidhi mahitaji yetu wenyewe humu ndani pasipo kwenda kwenye masoko ya magharibi au asia? Kama jibu ni hapana basi tunahitaji dollar na other curency zenye nguvu na kama jibu ni ndio basi tunaweza kuwa na curency moja ya afrika.Hazifanyi baina yao ambapo pia moja wapo ya sababu ni uaba wa Dollar... Kenya ikiuza TV haitataka kuiuzia Tanzania kwa sababu Shilling yetu haina nguvu, watataka kutuuzia kwenye Dollar, na kwenye Dollar napo Tanzania ina uaba hivyo Kenya atalazimika kupeleka bidhaa zake kwenye nchi zenye Dollar nyingi ili alete Dollar Nchini kwake... Sasa wewe unauza kitu hili upate Dollar, alafu ukamuuzie tena mwenzako ambae naye hana Dollar kama wewe? Ndio maana nchi nyingi za Afrika zinafanya biashara na nchi za nje ya bara la Afrika sababu kuu ni kwenda kuitafuta Dollar... Sasa tukiwa na sarafu yetu basi biashara zetu hazitahitaji tena kutumia Dollar bali sarafu yetu wenyewe tunakuwa tunafanya nayo biashara
Kwani nchi zote za Afrika na masiki zokiamka siku mmoja zikatoa tamko kwa mpigo kuwa hatuwalipi hizo fedha fanyeni mnachotaka?Mkishaanzisha hiyo sarafu bado mnatakiwa kulipa madeni yenu ambayo ni trilioni za dola kwa US$ na wala sio kwa hiyo sarafu mtakayoanzisha.
Na bado kuna kukopa na misaada mingine ambazo nazo bado zitatolewa kwa dola ya Marekani, hivyo hayo ni mambo ya kwenye vijiwe vya tangawizi tu.
Brother wazo zuri,Ila ulifanya hivyo moja kwa moja utakuwa unaipinga dollar,inamaana unaanzisha Vita na dollars,mmarekani hawezi kuruhusu hicho kituKuwa na sarafu yetu moja haimaanishi tunataka kupigana na Dollar... Kuwa na sarafu yetu inamaanisha kufanya biashara sisi kwa sisi... Chukua mfano wewe unavyochukua pesa yako ya Shillings unaenda kununua Sukari bila kutumia Dollar hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa sarafu ya Afrika unapoenda kufanya biashara na Msudani au Muafrika kusini
Mtu akishalewa bangi zake anaweza tu akaandika chochote kinachokuja kichwani mwake. Bure kabisa.Kwani nchi zote za Afrika na masiki zokiamka siku mmoja zikatoa tamko kwa mpigo kuwa hatuwalipi hizo fedha fanyeni mnachotaka?
Kaene kwenu na susi gatuji kwenu.
Nguvu ya wazingu ni ku deal na kanchi kamoja kamoja hawana silaha za kuzivamia nchi zote kwa mpigo huo uwezo hawana. Shida ipi vichwani kwetu.
Tingepata vichwa ngumu kama kina TRAORE wazungu wangeisoma namba, maana hawawezi ishi bila rasilimali za Afrika na wizi.