Barabara alizojenga Hayati Magufuli, hazina viwango, zimetengeneza Matuta kama ya kupandia Viazi

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Nilikuwa nafuatilia barabara zilizojengwa na Magufuli nikashangaa. Zote zimeharibika. Zimejaa mashimo n nyingine zimetengeneza matuta kama ya kupandia Viazi.

Huyu Mzee angeongoza miaka 10, angeiacha nchi yetu hoi. Itakuwa alikuwa anakula 10% halafu akija Jukwaani anafoka.

Hakuna Barabara Magufuli amesimamia ikadumu miaka mitano au Mitatu. Mfano Barabara ya Tegeta Mwenge, kila siku inarudiwa kuwekewa lami. Wakati kuna barabara Mfano Barabara ya Mwinyi Morocco kwenda Posta, ipo Imara sana. Wakati ile ya Morocco nadi tegeta enzi za Magufuli imejaa Viraka na kubadilishwa lami mara kwa mara. Barabara za Magufuli zimeharibika na Madaraja yaneanza kudidimia yaani kwenye daraja pamekaa kama tuta.

Hii ni Nchi nzima. Angalia barabara ya kutoka pale Nyakanazi hadi Benaco, Nyakanazi Kibondo Kariakoo Mbagala, Tunduma- Sumbawanga, Dodoma-Babati, Kondoa - Babati, Kagoma-Biharamulo-Lusahunga, Isaka - Ushilimbo, Msata Bagamoyo nk.

Barabara alizojenga Nyerere, Mwinyi na Mkapa bado zinadunda.

Baada ya Rais Samia kuingia Madarakani, Nchi yetu imeanza kurudi kwenye Msitari.

Mungu ni Shujaa


 
Wapinzani wa Magufuli ni kundi la watu wapuuzi kuwahi kuishi duniani.

Anayewatuma nayeye ni hopeless kuliko taahira.

Yaani mpaka picha za india huko unaleta hapa unasema ni za magufuli na waxenge wenzio wanakuunga mkono.
 
Sawa tu
 
Mpo kwenye payroll sasa! Mnakunya tu!!
 
Haya !!Kachukue pesa yako.
 
Chuki inaleta magonjwa yasiyoambukiwa. Picha ya pili ni kipande cha barabara ya Dar-Moro tangu enzi za Kikwete.
 
Acha na hizi picha. Weka za Bongo. Hii ni Tunduma- Sumbawanga?
 
wapinzani wa magufuli ni kundi la watu wapuuzi kuwahi kuishi duniani.

anayewatuma nayeye ni hopeless kuliko taahira.

yaani mpaka picha za india huko unaleta hapa unasema ni za magufuli na waxenge wenzio wanakuunga mkono.
Mapicha wanayabeba mtandaoni ya nchi nyingine anakuja kutuambia ni ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…