Barabara alizojenga Hayati Magufuli, hazina viwango, zimetengeneza Matuta kama ya kupandia Viazi

Barabara alizojenga Hayati Magufuli, hazina viwango, zimetengeneza Matuta kama ya kupandia Viazi

Salaam Wakuu,

Nilikuwa nafuatilia barabara zilizojengwa na Magufuli nikashangaa. Zote zimeharibika. Zimejaa mashimo n nyingine zimetengeneza matuta kama ya kupandia Viazi.

Huyu Mzee angeongoza miaka 10, angeiacha nchi yetu hoi. Itakuwa alikuwa anakula 10% halafu akija Jukwaani anafoka.

Hakuna Barabara Magufuli amesimamia ikadumu miaka mitano au Mitatu. Mfano Barabara ya Tegeta Mwenge, kila siku inarudiwa kuwekewa rami. Wakati kuna barabara Mfano Barabara ya Mwinyi Morocco kwenda Posta, ipo Imara sana. Wakati ile ya Morocco nadi tegeta enzi za Magufuli imejaa Viraka na kubadilishwa lami mara kwa mara. Barabara za Magufuli zimeharibika na Madaraja yaneanza kudidimia yaani kwenye daraja pamekaa kama tuta. Hii ni Nchi nzima. Angalia barabara ya kutoka pale Nyakanazi hadi Benaco, Nyakanazi Kibondo Kariakoo Mbagala, Tunduma- Sumbawanga, Dodoma-Babati, Kondoa - Babati, Kagoma-Biharamulo-Lusahunga, Isaka - Ushilimbo, Msata Bagamoyo nk.

Barabara alizojenga Nyerere, Mwinyi na Mkapa bado zinadunda.

Baada ya Rais Samia kuingia Madarakani, Nchi yetu imeanza kurudi kwenye Msitari.

Mungu ni Shujaa
View attachment 2253179View attachment 2253180View attachment 2253181View attachment 2253182
View attachment 2253185View attachment 2253186View attachment 2253187
Hahahaa wewe ndio Magu alikuambia ubaki na ma#@yako nyumbani.
Sasa hasirazako ndio unakuja na posti za kipumbavu kama hiyo.
Ulitaka wasafisha vyoo walipwe na nani kama hutaki kuchangia gharama.

Hakuna barabara zenye viwango kama zilizojengwa katika kipindi ambacho Magu alikuwa rais, jaribu kuwa serious kidogo.
 
Unaona ulivyo mjinga, asilimia kubwa ya Barabara nchii hii zimejengwa na Chuma JPM ama akiwa Waziri, au Rais.

Wewe hizo Barabara unazozungumzia ni zipi ?? Kwamba unatizama Barabara zilizojengwa akiwa Rais ??

Niamin, Hauna tofauti na Kichaa anayetembea Uchi na asijue yupo tupu.
 
Sukuma Gang punguzeni Matusi na hasira. Jengeni hoja sababu mimi sibabaiki na matusi yenu na kejeli. Nawaona kama vikaragosi tu ndo maana siwajibu. Kila Sukuma gang atukane tusi analotamani kutukana halafu jibuni hoja.
 
Sukuma Gang punguzeni Matusi na hasira. Jengeni hoja sababu mimi sibabaiki na matusi yenu na kejeli. Nawaona kama vikalagosi tu ndo maana siwajibu. Kila Sukuma gang atukane tusi analotamani kutukana halafu jibuni hoja.
Bavicha ndio kiwanda cha matusi hadi Mbowe amewakemea
 
Salaam Wakuu,

Nilikuwa nafuatilia barabara zilizojengwa na Magufuli nikashangaa. Zote zimeharibika. Zimejaa mashimo n nyingine zimetengeneza matuta kama ya kupandia Viazi.

Huyu Mzee angeongoza miaka 10, angeiacha nchi yetu hoi. Itakuwa alikuwa anakula 10% halafu akija Jukwaani anafoka.

Hakuna Barabara Magufuli amesimamia ikadumu miaka mitano au Mitatu. Mfano Barabara ya Tegeta Mwenge, kila siku inarudiwa kuwekewa lami. Wakati kuna barabara Mfano Barabara ya Mwinyi Morocco kwenda Posta, ipo Imara sana. Wakati ile ya Morocco nadi tegeta enzi za Magufuli imejaa Viraka na kubadilishwa lami mara kwa mara. Barabara za Magufuli zimeharibika na Madaraja yaneanza kudidimia yaani kwenye daraja pamekaa kama tuta.

Hii ni Nchi nzima. Angalia barabara ya kutoka pale Nyakanazi hadi Benaco, Nyakanazi Kibondo Kariakoo Mbagala, Tunduma- Sumbawanga, Dodoma-Babati, Kondoa - Babati, Kagoma-Biharamulo-Lusahunga, Isaka - Ushilimbo, Msata Bagamoyo nk.

Barabara alizojenga Nyerere, Mwinyi na Mkapa bado zinadunda.

Baada ya Rais Samia kuingia Madarakani, Nchi yetu imeanza kurudi kwenye Msitari.

Mungu ni Shujaa

View attachment 2253180View attachment 2253181
View attachment 2253185View attachment 2253186View attachment 2253187
Ukiacha wivu katika maisha yako huenda ukapiga hatua kubwa saana kwenye maisha yako
 
Wapinzani wa Magufuli ni kundi la watu wapuuzi kuwahi kuishi duniani.

Anayewatuma nayeye ni hopeless kuliko taahira.

Yaani mpaka picha za india huko unaleta hapa unasema ni za magufuli na waxenge wenzio wanakuunga mkono.
Na kadri wanavyomsema vibaya ndivyo Hayati Rais Magufuli anazidi kuwa imara zaidi na ndivyo wanavyozidi kumuogopa!
 
Kwanza ELIMU, pili ELIMU na elimu halafu elimu pia, yaani ni elimu, elimu, elimu tu. Well, hebu onesha barabara ambazo hazikujengwa na Magufuli ili tulinganishe. Hiyo yenye matuta matuta i hope ni ya Dodoma Morogoro kama sikosei.
 
CCM wanaona hawana wa kumpigia kelele kwa sababu NI SERIKALI yao yenye UTITILI WA MAENGINEER uchwara, wanatafuta wa kumsukumia mzigo! Ni CCM wamechoka wawaachie wengine nao wafanye tulinganishe.
 
Tulikuwa na Rais mpumbafu sana.
Hawa TIS wako wapi Hayati ana tukanwa hivi kama hakufanya lolote? Jameni tumuogope Mungu! Yote yamefanyika chini ya ILANI YA CHAMA TAWALA miaka yote. Wasitafite mchawi chama kimechoka!
 
Mbona alishawhi kusema kuwa hizo Barabara zinaharibiwa na Wapinzani hasa toka Chadema, Ndio maana akasema nileteeni Gwajima.

Barabara kama hii niliwahi kuiona Pale Kibaha - Mlandizi kwenye njia ya mteremko inayoelekea mto Ruvu.
 
Back
Top Bottom