Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Hahahaa wewe ndio Magu alikuambia ubaki na ma#@yako nyumbani.Salaam Wakuu,
Nilikuwa nafuatilia barabara zilizojengwa na Magufuli nikashangaa. Zote zimeharibika. Zimejaa mashimo n nyingine zimetengeneza matuta kama ya kupandia Viazi.
Huyu Mzee angeongoza miaka 10, angeiacha nchi yetu hoi. Itakuwa alikuwa anakula 10% halafu akija Jukwaani anafoka.
Hakuna Barabara Magufuli amesimamia ikadumu miaka mitano au Mitatu. Mfano Barabara ya Tegeta Mwenge, kila siku inarudiwa kuwekewa rami. Wakati kuna barabara Mfano Barabara ya Mwinyi Morocco kwenda Posta, ipo Imara sana. Wakati ile ya Morocco nadi tegeta enzi za Magufuli imejaa Viraka na kubadilishwa lami mara kwa mara. Barabara za Magufuli zimeharibika na Madaraja yaneanza kudidimia yaani kwenye daraja pamekaa kama tuta. Hii ni Nchi nzima. Angalia barabara ya kutoka pale Nyakanazi hadi Benaco, Nyakanazi Kibondo Kariakoo Mbagala, Tunduma- Sumbawanga, Dodoma-Babati, Kondoa - Babati, Kagoma-Biharamulo-Lusahunga, Isaka - Ushilimbo, Msata Bagamoyo nk.
Barabara alizojenga Nyerere, Mwinyi na Mkapa bado zinadunda.
Baada ya Rais Samia kuingia Madarakani, Nchi yetu imeanza kurudi kwenye Msitari.
Mungu ni Shujaa
View attachment 2253179View attachment 2253180View attachment 2253181View attachment 2253182
View attachment 2253185View attachment 2253186View attachment 2253187
Sasa hasirazako ndio unakuja na posti za kipumbavu kama hiyo.
Ulitaka wasafisha vyoo walipwe na nani kama hutaki kuchangia gharama.
Hakuna barabara zenye viwango kama zilizojengwa katika kipindi ambacho Magu alikuwa rais, jaribu kuwa serious kidogo.