Barabara alizojenga Hayati Magufuli, hazina viwango, zimetengeneza Matuta kama ya kupandia Viazi


Dhalimu alikuwa anapenda wingi, kwake ubora haikuwa lazima. Ndio maana alikuwa akitaja mafanikio ya miradi yake alikuwa anataja idadi hata kama ni ya kupika. Mfano utasikia nimejenga vituo vya afya 500, lakini ukifuatilia unakuta ni idadi ya uongo.
 
Chuki zako zitakupeleka pabaya huna tofauti na mchawi wewe.
 
View attachment 2253223View attachment 2253224 Wapumbavu Kama nyie na wafata mkumbo hamkosekani mapicha ya Nigeria na congo mnamsingizia Magufuli.
Huna haja ya kupanikic na kutoa lugha zilizokosa staha.. Picha sijaweka mimi, lakini nikupe mfano mmoja wa wazi kuhusu mayaga construction ni airport ya chato na barabara ya Loliondo NIDA kuelekea Baobab njia ya Bagamoyo, ile barabara mwaka wa tatu sasa kampuni imeshindwa kukamilisha walau kilometer 10 na hizo chache ilizojenga ni majanga tupu
 
Chache zipi?
 
Wapinzani wa Magufuli ni kundi la watu wapuuzi kuwahi kuishi duniani.

Anayewatuma nayeye ni hopeless kuliko taahira.

Yaani mpaka picha za india huko unaleta hapa unasema ni za magufuli na waxenge wenzio wanakuunga mkono.
Punguza jazba mkuu.
 
Ujinga ni mzigo kupambana na marehemu hata wanaowatumia wamekosa wafanye nini zaidi ya kutafuna pesa za umma
 
Husikiii tena mtu katekwa😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 

Mzilankende Mnyago, Ngosha Chapa Ng'ombe, Jiwe, Chuma

Usinichanganyie Gunzi Na Battery Hiyo Torch Sitaiwasha Mimi

Ametufanyizia Kazi Kubwa Sana!!

 
Jiwe lilikuwa jizi tu jitu lile
 
Wapinzani wa Magufuli ni kundi la watu wapuuzi kuwahi kuishi duniani.

Anayewatuma nayeye ni hopeless kuliko taahira.

Yaani mpaka picha za india huko unaleta hapa unasema ni za magufuli na waxenge wenzio wanakuunga mkono.
Maumbwa kabisa hayo
 
Aisee mnatumia nguvu kubwa sana kupambana na kivuli cha magufuri.hio damu hautawaacha salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…