Barabara alizojenga Hayati Magufuli, hazina viwango, zimetengeneza Matuta kama ya kupandia Viazi

Ficha upunguani wako.
 

Barabara gani nzuri unazozijua Magufuli hakushiriki kujenga nchi hii?

Wewe nao umekuwa mjinga mjinga baada ya kujua ukianzisha mada kuhusu Magufuli unapata wachangiaji basi na wewe hata pumba unaweka.....

Barabara gani hakushiriki kujenga? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anayekulipa anapoteza pesa yake bure

Maana mada hazina uhalisia.
 
Ukiona hivyo ujue hawanachamaana wanachofanya mpaka sasa. Kugombana na marehemu kunalisaidia nini Taifa.

JPM kuna vitu nilikuwa na kubali vingine hapana, ameshakufa tunaangalia mbele sio nyuma.
Hawajafanya lolote mkuu ni sufuri tu.
 
Tunduma-Sumbawanga haina shida,ni ya mzungu ile
 
I thought we have address alll these issues objectively. JPM hakuwa contractor. JPM hakuwa procurement entity. Mbona waliokuwa na hizo kazi wengine bado wamekalia madawati yao?
 
Mtoa post Yuko sahh sn sn
Wapinzani wa Magufuli ni kundi la watu wapuuzi kuwahi kuishi duniani.

Anayewatuma nayeye ni hopeless kuliko taahira.

Yaani mpaka picha za india huko unaleta hapa unasema ni za magufuli na waxenge wenzio wanakuunga mkono.
 
Si tulikubaliana kuwa barabara zote kajenga Kikwete
 
Ni hatari sana kwa usalama barabarani, mambo ya hovyo sana.
 
Aiseeee !!!
 
Acha na hizi picha. Weka za Bongo. Hii ni Tunduma- Sumbawanga?
Wewe jamaa nilikuwa ninakusoma sana na kukuona ni mwandishi makini unayeandika habari zenye uzito na zilizofanyiwa utafiti...sasa umekuwaje??!!

Au kuna teuzi ziko njiani!?
 
Barabara zote nchi hii kajenga yeye ndio bahati mbaya na chenje kidogooooo
 
Huyu mzee sasa hata alipo hapumui. Jamaa hamtaki kumwacha mnaye tu
 
Wewe jamaa nilikuwa ninakusoma sana na kukuona ni mwandishi makini unayeandika habari zenye uzito na zilizofanyiwa utafiti...sasa umekuwaje??!!

Au kuna teuzi ziko njiani!?
Mkuu kwani hizo barabara alizotaja ni uongo au kweli?
 
Unapiga mabara bara ya kenya huko unatuletea humu?
Ignorant!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…