Barabara alizojenga Hayati Magufuli, hazina viwango, zimetengeneza Matuta kama ya kupandia Viazi

Bora hizo,,, hawa Walamba asali hata hayo matuta sijui kama yatapatikana
 
Mungu mtoe pepo huyu. Hajui kodi yake ndo inajenga
Mada ni barabara zote alizojenga magufuli, sa hivi magufuli hakujenga bali ni kodi ya huyo mchangia mada. Watanzania tupunguze upunguani. Yaani wengi ni kama HAMNAZO hivi!!! 😢
 
Aseee,inauma sana kuona watu wanaropoka vitu visivyo na msingi,MUNGU akupe pumziko jema JPM,uzuri MUNGU si mwanadamu anaona kila kitu nae hutoa haki kwa wakati wake.


Ingekuwa vizuri sasa mbomoe kila alichojenga ili mjenge vyenu vyenye standard ili roho zenu zitulie.
 
Alikuwa Rais wa hovyo sana
 
Duu huyu Mzee JPM mmempania kuua legazi yake
Legasi yake haitokufa kwa yale aliyoyafanya ambayo hayajawahi kufanywa na kiuongozi yoyote toka nchi hii ipate uhuru kama vile kuiba uchaguzi mzima bara na visiwani, maiti kuokotwa kwenye vipolo pembezoni mwa bahari bila kufanywa uchunguzi wowote,, waña siasa kupigwa risasi hadhaani bila uchunguzi wowote mk.
 
Hakika hakuna Rais ambaye hatakuja kunangwa, maana hata Samia naye watu wameshaanza kumnanga pia...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] matuta ya viazi vitamu
 
Kuna chembe ya ukweli ndani yake.
Barabara ya Mawne -Tegeta ilijengwa na Estim akiwa chini ya Konoike.
Viwango vya kazi vilikuwa dunu sana, kila siku inarudiwa.
Na Barabara ya Msata -Bagamoyo nayo Estim.
Barabara inatitia huku madaraja yakinyanyuka.
 
Ujawahi kumiliki akili bro
 
Mbona Wafusi wa Magufuli munatukana sana? Ninyi ndo Wawakilishi wa Magufuli kabisa, alikuwa na akili kama zenu. Hamkaukiwi matusi
 
"Barabara alizojenga Hayati Magufuli"


Hayati magufuli ndiye mkandarasi??
 
Marehemu hufa na chake pigana upate chako. Mzee wa watu anawaongoza malaika huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…