Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi au vyote kwa pamoja hapa Tanzania, hivyo uwezekano wa kupata ajari ni mkubwa dereva asipokuwa muangalifu.
- Hizi ni baadhi ya barabara hatarishi Tanzania.
1. Nyang’olo barabara ya Iringa kwenda Dodoma
2. Barabara ya mlima Kitonga mkoani Iringa
3. Lukumbulu barabara ya Songea mkoani Ruvuma
4. Barabara ya mlima Sekenke mkoani Singida
5. Barabara ya Chunya mkoani Mbeya
- Barabara gani nyingine ni hatarishi hapa Tanzania?
Nyongeza: Hii ni barabara inayo onekana kuvutia japo ni hatarishi, inapatikana mkoa Arusha Barabara ya kutoka Manyara kwenda Karatu-Arusha.