Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Hii nimeipita,nafikiri inashika namba moja.Ongezea hapo Babati-Mbulu,kati ya Mbuyu wa Mjerumani na MbuluView attachment 1911904
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nimeipita,nafikiri inashika namba moja.Ongezea hapo Babati-Mbulu,kati ya Mbuyu wa Mjerumani na MbuluView attachment 1911904
Unaijua vyema wala hujahadithiwa.Upo sahihi kushuka Mtowisa kutoka Sumbawanga kwa kupitia Muze hapo hakuna tena Tanzania nzima! Mtu atakayebisha basi hajawahi kushuka bonde la Rukwa! Gari ikifeli breki inashuka bondeni kama helkopta na kwenda kutua bondeni kama gunia la viazi!
Aisee Lushoto ni shida iyo barabaraHapo Tatizo ni mmomonyoko japo kwa pembeni kunaonekana bonde.
Ile barabara ya kutoka Songea mjini kwenda kule Nyasa ziwani inaitwaje sijui, aisee weka mbali na watoto inatisha pia
Hata ile ya Mombo kwenda Lushoto ukianza kupandisha mpaka uikute ile njia panda ya Bumbuli nayo hatari, pale njia panda nimepasahu jina kidogo

Inawezekana,kwanza ni nyembamba na pili kona zake ni sharp sana kiasi cha kwamba lori lenye tela haliwezi kupita...Hii nimeipita,nafikiri inashika namba moja.
Asante mkuu kwa nyongeza, ukifanikiwa kupata picha unaweza kutuwekaa hapa.Mnaijua ndororo??? nadhani ni hatari zaidi ila hamjaitaja .. mabasi mawili tu yanapanda huo mlima alsaedy na kidinilo.. inapatikana kipande cha ifakara to mahenge ulanga..inakochimbwa rubi,spinal,uno etc.. hutatamani kutazama pembeni na ukikaa nyuma basi unaona mbele limenyanyuka,kona zake ni hatari mno. lushoto hakuna kitu pale burdani inalala na 70 kabisa,kitonga pia 50basi linatembea.. na kwingine ka hizo picha zenu bado hakuna milima hatari..alosoma kwiro secondary atanielewa
Mombo to lushoto balaaa aise ile no1Mombo- lushoto ni shida aisee