Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,827
- 1,655
Cheki mfano wa hiyoUkipata picha tusogezee mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheki mfano wa hiyoUkipata picha tusogezee mkuu.
Hapo Tatizo ni mmomonyoko japo kwa pembeni kunaonekana bonde.Cheki mfano wa hiyoView attachment 1913494
Kamwe hakuna kipande chenye mabonde pande mbili Kitonga, nimeanza kupita hiyo njia tangu mwaka 1981 kwa namna zote, miguu, baiskeli, pikipiki na magari, naijua vizuri sana hakuna hata sehemu moja inafanana na hiyo pichaKitonga
Hapo labda ngoja tutafute picha za karibuni tuweke hapa.Kamwe hakuna kipande chenye mabonde pande mbili Kitonga, nimeanza kupita hiyo njia tangu mwaka 1981 kwa namna zote, miguu, baiskeli, pikipiki na magari, naijua vizuri sana hakuna hata sehemu moja inafanana na hiyo picha
Kweli kawetere Napo ni kisanga inafaa kwa utalii.Barabara ya Mbeya kwenda Chunya mlima Kawetere ndiyo barabara iliyo kina kirefu Afrika (highest road point) kutoka usawa wa bahari, hata hivyo tumeshindwa kuitangaza kwa utalii licha ya wakoloni waliweza kuitangaza.
K9_ngara road
Duuh! Hii njia ni hatar ,niliwahi kupita kwel n kaburi waziOngezea barabara inayotoka Sumbawanga kwenda bonde la Ziwa Rukwa.
Inaitwa barabara ya MUZE/MUZYE madereva mjiangalie mnapotajiwa hilo eneo ni hatari zaidi ya hizo Nyang'holo
Kweli ila mikoa Mbeya, Iringa na Morogoro ndio huongeza kwa ajali.Vipande vya barabara vyenye ajali nyingi Tanzania nadhani ni morogoro To Dar, halafu Dar, Chalinze to Segera hayo maeneo hua na ajali sana tofauti na sehemu kama kitonga, sekenke, nyang’oro, K9 ambapo dreva hujua kabisa yuko sehemu hatari hivo huendesha kwa tahadhari na umakini mkubwa sana,
Asante kwa kushare hapa hasa nimeweka zinazofahamika.Sijaona Barabara ya Ludewa-Njombe,Maeneo ya Gangitolori,Ijongojongo.Nenda kule Mavanga, Maeneo ya Likanga Lya njukhi (Liganga),uone mziki wake.
Ongezea barabara inayotoka Sumbawanga kwenda bonde la Ziwa Rukwa.
Inaitwa barabara ya MUZE/MUZYE madereva mjiangalie mnapotajiwa hilo eneo ni hatari zaidi ya hizo Nyang'holo
Ina tofauti gani na sekenkeVuta picha,, hii barabara unatokea chini mombo kupandisha juu milimani lushoto kwa kuuzunguka mlima pembeni ..
Barabara inapita kwenye kingo za mlima kwenda juu na ni njia moja na mwendo wa almost dkka 30..
Napita Kitonga kila mwezi tangu 1981 nakuhakikishia kilichoko kwenye picha siyo kitonga hichoHapo labda ngoja tutafute picha za karibuni tuweke hapa.
Hatari sana Mkuu.Ongezea barabara inayotoka Sumbawanga kwenda bonde la Ziwa Rukwa.
Inaitwa barabara ya MUZE/MUZYE madereva mjiangalie mnapotajiwa hilo eneo ni hatari zaidi ya hizo Nyang'holo
Aah Acha kabisa Mkuu.Vuta picha,, hii barabara unatokea chini mombo kupandisha juu milimani lushoto kwa kuuzunguka mlima pembeni ..
Barabara inapita kwenye kingo za mlima kwenda juu na ni njia moja na mwendo wa almost dkka 30..