Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi

Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi

Hivi mlima Nyoka pakoje? Uwanja was Ndege Kiwira ambapo mabasi na magari ya mizigo yalikuwa yanapaa pakoje? Na huo mteremko was Mbalizi ambao unaua watu kila uchao, ukoje? Tuwekee mapikitule
Huo mteremko wa mbalizi inawezekana ndo headquarters za Izrael mtoa roho, mungu aingilie kati tu.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Vuta picha,, hii barabara unatokea chini mombo kupandisha juu milimani lushoto kwa kuuzunguka mlima pembeni ..
Barabara inapita kwenye kingo za mlima kwenda juu na ni njia moja na mwendo wa almost dkka 30..
Ukipata picha tusogezee mkuu.
 
Ongeza na hizi ingawa zimejengwa kwa umakini mkubwa.
-Kirumi -Tarime
-Kutoka njia panda ya Kidahwe -2Km kuelekea Kigoma.
-Manyovu -Mwandiga
-12Km kuingia Kayanga, Karagwe.
 
Ongeza na hizi ingawa zimejengwa kwa umakini mkubwa.
-Kirumi -Tarime
-Kutoka njia panda ya Kidahwe -2Km kuelekea Kigoma.
-Manyovu -Mwandiga
-12Km kuingia Kayanga, Karagwe.
Asante mkuu kwa nyongeza
 
Back
Top Bottom