Kweli maeneo hayo hatarishi sana ajali hazitokei sana.cha kushangaza maeneo ambayo hayana kona hatarishi ndo ajali nyingi hutokeaaa
1. Usalama wa barabarani huanzia kwenye chombo husika
2. Rubani wa chombo nae ni mtu muhimu kuhakikisha hasababishi madhara kwa wengine
3. Hali ya hewa huchangia
4.
Hapana.Asante mkuu vipi hizo kona na hapo zimetajwa?
Sawa mkuu ngoja niingie maktaba kuchukua picha ila hizo milima hapo mbeya nazo zinatisha.Hivi mlima Nyoka pakoje? Uwanja was Ndege Kiwira ambapo mabasi na magari ya mizigo yalikuwa yanapaa pakoje? Na huo mteremko was Mbalizi ambao unaua watu kila uchao, ukoje? Tuwekee mapikitule
Asante mkuuOngezea hapo Babati-Mbulu,kati ya Mbuyu wa Mjerumani na MbuluView attachment 1911904