KERO Barabara inayounganisha Mtaa wa Jangwani na Manispaa (LINDI) ni mbaya na haifai kutumika, Waziri aje aione

KERO Barabara inayounganisha Mtaa wa Jangwani na Manispaa (LINDI) ni mbaya na haifai kutumika, Waziri aje aione

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni Mwananchi wa Manispaa ya Lindi, Mtaa wa Jangwani, kero yangu ni kuwa Barabara inayounganisha Mtaa wa Jangwani na Manispaa (mahala tunapopata huduma zetu za kila siku) imeharibika haifai kwa matumizi ya kiangazi hata masika.

Kibaya zaidi mamlaka inalitambua hili tokea Mwaka 2023, ila wanatupiga danadana nyingi na hakuna kinachofanyika.

Mwaka 2023 aliwahi kuja Mkurugenzi wa Manispaa na Mkuu wa Wilaya lakini hakuna kilichoendelea, barabara ni mbaya haifai kupitika naomba Waziri naye aje ainee.
photo_2026-04-28_19-27-04.jpg

photo_2026-04-28_19-28-01.jpg

photo_2026-04-28_19-28-02.jpg

photo_2026-04-28_19-28-03.jpg
 
Back
Top Bottom