Barabara ya banana kitunda wakati wa mvua ni kero

Barabara ya banana kitunda wakati wa mvua ni kero

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
857
Reaction score
1,810
Kero kubwa madimbwi mengi magari yanaharibika

 
Poleni sana, mwaka wa uchaguzi huu...
Tuvute subira, pengine watapitisha greda na kokoto laini kusawazisha mashimo.

Na mwendo ni namna hiyo, kupita pembeni ya dimbwi sio katikati.

Kama ni mgeni wabarabara, unashuka unapita kwenye hilo dimbwi kuona kama hakuna mawe maana unaweza jikuta unaacha sampo hapo ikawa soo.

Kisha unarudi kwenye gari ukiwa umelowa unapita eneo umalipita na kujua linafananaje kwa miguu yako. Kama si salama unageuza gari.
 
Back
Top Bottom