Chief nimeanza kutumia daraja jana na leo.. Jana hali haikuwa mbaya sana ila leo naona aliekuwa anazivuta gari za kwenda mjini kwenye makutano ya chang'ombe alikuwa anazichelewesha na ni kutokana na wingi wa gari kutoka kipande cha airport etcUshawahi kuganda Chang'ombe au Kamata masaa mawili?
Anyway step by step zinahitajika flyovers nyingine chang'ombe,kamata,moroko,mwenge
Ok.Chief nimeanza kutumia daraja jana na leo.. Jana hali haikuwa mbaya sana ila leo naona aliekuwa anazivuta gari za kwenda mjini kwenye makutano ya chang'ombe alikuwa anazichelewesha na ni kutokana na wingi wa gari kutoka kipande cha airport etc
kumbe na wewe umeona ni ya maana hiyo barabara ya juu!!Haya watu wa mikoani karibuni Dar mje muone barabara za juu mtoe na ushamba
Zile za Escrow zingejenga kama hizo tatuAisee daraja hilo kumbe ni 95 billioni
Kule juu watu wana adabuNadhani watu watapita kwa speed ya kawaida ili wasilete madhara hasa those wearing beer goggles
SawaHaya watu wa mikoani karibuni Dar mje muone barabara za juu mtoe na ushamba