The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Inasikitisha sana.Siku ukipata nafasi kwa wale mliomikoa jirani hebu nenda katulie pale mlandizi alafu uangalie trend ya gari zinazotumia Ile barabara.
Idadi ya gari ilishaizidi barabara kwa mbali sana kwa jinsi ambayo ilipaswa njia mbadala iwe inakamilishwa sasa hivi.
Kwa bahati mbaya hata kuanza haijaanza.
Kwa mwendo huu hatutafikisha miaka mitatu Ile barabara ikaacha kupitika kabisa kutokana na ubovu uduni na kuzidiwa na matumizi
ok.Siku ukipata nafasi kwa wale mliomikoa jirani hebu nenda katulie pale mlandizi alafu uangalie trend ya gari zinazotumia Ile barabara.
Idadi ya gari ilishaizidi barabara kwa mbali sana kwa jinsi ambayo ilipaswa njia mbadala iwe inakamilishwa sasa hivi.
Kwa bahati mbaya hata kuanza haijaanza.
Kwa mwendo huu hatutafikisha miaka mitatu Ile barabara ikaacha kupitika kabisa kutokana na ubovu uduni na kuzidiwa na matumizi
Kwani haijafika kutumia masaa 6 bado?Pale inahitajika Barbara nne. La sivyo watu watatumia masaa sita kufika Morogoro
Mi sielewi ila ukiwasikiliza kina Luka wakasema katiba ibadilishwe mama aendelee mpaka unajikatia tu tamaa, na kusema liwalo na liliweKipaumbele cha saa100 ni kipi?
Nilitaka Moro saa 7:30 mchana nikafika mbezi magufuli saa 12:30 na hapo dereva alijitahidi sana kuovatek huku tukijawa na hofu ya. Kukutana uso kwa uso lakini wapiPale inahitajika Barbara nne. La sivyo watu watatumia masaa sita kufika Morogoro
SameNilitaka Moro saa 7:30 mchana nikafika mbezi magufuli saa 12:30 na hapo dereva alijitahidi sana kuovatek huku tukijawa na hofu ya. Kukutana uso kwa uso lakini wapi
Barabara imezidiwa sana na magaari, pia imeharibika sana.Siku ukipata nafasi kwa wale mliomikoa jirani hebu nenda katulie pale mlandizi alafu uangalie trend ya gari zinazotumia Ile barabara.
Idadi ya gari ilishaizidi barabara kwa mbali sana kwa jinsi ambayo ilipaswa njia mbadala iwe inakamilishwa sasa hivi.
Kwa bahati mbaya hata kuanza haijaanza.
Kwa mwendo huu hatutafikisha miaka mitatu Ile barabara ikaacha kupitika kabisa kutokana na ubovu uduni na kuzidiwa na matumizi
Je vipi kuhusu mvua za El-nino zikianza kudondoka bado barabara hiyo itaendelea kupitika kwa muda huo wa miaka mitatu ??!Siku ukipata nafasi kwa wale mliomikoa jirani hebu nenda katulie pale mlandizi alafu uangalie trend ya gari zinazotumia Ile barabara.
Idadi ya gari ilishaizidi barabara kwa mbali sana kwa jinsi ambayo ilipaswa njia mbadala iwe inakamilishwa sasa hivi.
Kwa bahati mbaya hata kuanza haijaanza.
Kwa mwendo huu hatutafikisha miaka mitatu Ile barabara ikaacha kupitika kabisa kutokana na ubovu uduni na kuzidiwa na matumizi
Tatizo humo humo kwenye huo mzigo wajanja wanaoitwa wajanja wanazipigia plan za Utajirisho 😳 !!Bilioni 730 zimetengwa kwenye Elnino
Hii Fedha Inajenga Njia Nne Dar Dodoma na Chenji inbaki.
730,000,000,000/=