Barabara ya kibaha chalinze haitapitika kabisa miaka mitatu ijayo serikali imelala usingizi wa pono!!

UVCCM a.k.a Wala Rushwa watakutupia mawe
 
Alipokufa tu Rais wetu kila kitu kikasimamia hapo KIBAHA Maili Moja
 
Tunajenga viwanja vya AFCON, Ujinga wa ma CCM.
 
Waongeze matrafiki wa kuongoza magari kila sehemu.maderev wenyewe ndo uwa wanaweka foleni.
Asa malori unakuta kamba ndefu lakini ukifika mbele unaona Lori Moja ndo chanzo linajiburuza
Yaani hao trafiki hata wakikaa kila baada ya km 1 bado tatizo litakuwa kubwa zaidi yaani ufumbuzi wa pekee ni kujenga barabara sita hadi nane jambo ambalo tumechelewa sana maana tulipaswa kuwa kwa sasa zinakamilishwa
 
Kwa ujumla barabara yote kuanzia Kibaha mpaka Tunduma inahitajika kuwa njia sita kwa uchache tatu kwenda tatu kurudi. Kwa aliyefika Tunduma ndio anaweza kujua ni kwa kiasi gani kama taifa tunapoteza fursa ya kuongeza mapato. Miezi michache iliyopita nilifanya safari kwa barabara nilichojionea ni kuwa tunapoteza mapato sana kutokana na ubovu wa barabara. Nina uhakika miundo mbinu ya barabara ingekuwa ipo vizuri serikali ingeingiza pesa maradufu kuliko inazoinginza sasa hivi.
 
Kila nikiandika nafuta, cjui hata niandike nini, Nina mchanganyiko wa hisia

Nchi ipo kwenye comma stage, inajiendea kama kuku aliyekatwa kichwa..
Barabara zote karibia nchi nzima zimekufa, ukitafuta nyuzi humu jf zinazolalamikia uchakavu wa barabara ni lukuki

Viongozi nao wamejawa kiburi kuliko wakati wote kwenye historia
 
Ubovu na na kuzidiwa kwa barabara ni sawa na kuongeza foleni ni sawa na kuongeza matumizi ya nishati tofauti na kiasi halali cha nishati na hii tija kwa wauza nishati.

Kupanga ni kuchagua.
Sijaelewa unachomaanisha ukweli ni kwamba nchi inaingia hasara kubwa kwa miundombinu ya barabara isiyoendana kabisa na ongezeko la matumizi kifupi ni kwamba tuko nyuma sana kwa hiyo hata kama mantiki yako ilikuwa ni kunufaika na uuzaji wa nishati bado tunapoteza sana kuliko tulivyostahili
 
Hata tungeacha yote basi tufanye kibaha Moro awamu ya Kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…