Jamani barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni mbaya Sana.
Hii ni barabara muhimu Sana kwani inaenda kwenye taasisi muhimu za serikali.
Pia husaidia wakazi mbalimbali kuleta bidhaa zao hasa siku za soko la Tengeru jumatano na jumamosi.
Mamlaka husika hasa viongozi WA wilaya hii ya Arumeru tunaomba mtazame barabara hii. Pia TARURA wilaya ya Arumeru tunaomba maboresho ya barabara hii.