Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
Awali ya yote nimshukuru Mwenyezimgu kwa kutupa uhai tena na tena..
Kumekuwepo na ngonjera nyingi na awamu nyingi zikinadi kutengeneza hii barabara kwa kiwango cha lami
Wamekuwa wakiitumia Sera hii hasa kwa wakazi wa Mabwepande na Bunju kuomba Kura kupitia hii barabara ila cha ajabu Hadi Leo hakuna kilichofanyika
Awamu ya Mkapa [emoji735]
Awamu ya kikwetwe[emoji735]
Awamu ya Magufuli[emoji735]
Hata mama sidhani kama anaweza kutekeleza hili
Naamini kuna viongozii humu je?
Hii barabara wameiweka kwenye kundi lipi?
Hawana mpango nayo?
Haipo kwenye ilani yao?
Mara ya mwisho Paul Makonda 2017 aliongea na wananchi maneno mengi kuhusu barabara hii lakini hakuna kinachofanyika sanasana wanaichonga Tu
NB:
Mwakani mkirudi (2024,2025)mje na plan nyengine mana hii wananchi wameshastuka
#Nanialaumiwe?#
#tupatesautizetu#
#Uvumilivuunachosha#
Stukamwananchi#