peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ccm ni kikundi cha wajanja wachache takiribani watu 2000 wanatawala watu 60,000,000 kwa mbinu za nani atoke nani atawale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeandika kwa uchungu Sana...sema ndio serikali yetu wameamua kuwadhulumu wananchi waziwazi daahMkuu,
Watu kama akina Butiku, Warioba nk CCM ya sasa haiwathamini kabisa. Maeneo ya Mabwepande kuna majaji, wanasheria, watu wa usalama, wanajeshi, wafanyakazi wa benki wana nyumba zao huko lakini CCM hawajali wanazingatia sana kufanya Mbweni iwe pepo ya ardhini huku wananchi wenye umiliki halali wa ardhi huko wanavunjiwa nyumba kwa dhuluma na ghiliba.
Mbopo kuna nyumba zaidi ya 400 zilivunjwa pindi tu ilipoingia awamu hii huku wakiwaacha ya watu wao waliojenga kwenye hilo hilo hii ndio dhuluma kuu
CCM ni sawa na HAMAS ambacho nikikundi cha siasa Palestina chenye madaraka ukanda wa Gaza ikiimanisha wanajinufaisha kupitia jeuri, fujo na dhuluma kwa mgongo wa shida za wananchi wake.
CCM-Chama Cha Mapinduzi (wanampindua nani miaka yote. Hiki chama kilitakiwa kiwe cha Zanzibar kwa sababu walipopewa uhuru n Uingereza Nov 1963 ndipo wakapanga mapinduzi ya Januari 1864.
HAMAS (חָמַס ḥāmas)-Ḥarakah al-Muqāwamah al-ʾIslāmiyyah (حركة المقاومة الإسلامية)-jeuri, fujo, dhuluma, ugomvi, ubishi, ghiliba, chuki, uasi wa roho na kujali matakwa binafsi ya kikundi na kujikinga nyuma ya huruma ya wengine na kutupa lawama kwingine.
Kwani wananchi walikua wapi wakati wanaporwa haki yao ya msingi, walichukua hatua gani zaidi ya kumsifia huyu mwendazake.Mbunge wa eneo hilo aliteuliwa na Magufuli hakuchaguliwa na Wananchi!
Wakitaka kuomba Kura wasiinadi kabisa mana hii ndio wananchi haswa huwa wanawapa Kura wakiamin lami itakuwepoSerikali iliona ijengwe ya Madale kwanza ni ya muhimu kuliko hiyo ya Mabwepande
Kwani wananchi walikua wapi wakati wanaporwa haki yao ya msingi, walichukua hatua gani zaidi ya kumsifia huyu mwendazake.
Bila aibu sitoshangaa wakija tena kwa mbinu hii CCM sijui nan kawaroga wizi wazi na kudhulumu haki za wananchiMkuu,
Watu kama akina Butiku, Warioba nk CCM ya sasa haiwathamini kabisa. Maeneo ya Mabwepande kuna majaji, wanasheria, watu wa usalama, wanajeshi, wafanyakazi wa benki wana nyumba zao huko lakini CCM hawajali wanazingatia sana kufanya Mbweni iwe pepo ya ardhini huku wananchi wenye umiliki halali wa ardhi huko wanavunjiwa nyumba kwa dhuluma na ghiliba.
Mbopo kuna nyumba zaidi ya 400 zilivunjwa pindi tu ilipoingia awamu hii huku wakiwaacha ya watu wao waliojenga kwenye hilo hilo hii ndio dhuluma kuu
CCM ni sawa na HAMAS ambacho nikikundi cha siasa Palestina chenye madaraka ukanda wa Gaza ikiimanisha wanajinufaisha kupitia jeuri, fujo na dhuluma kwa mgongo wa shida za wananchi wake.
CCM-Chama Cha Mapinduzi (wanampindua nani miaka yote. Hiki chama kilitakiwa kiwe cha Zanzibar kwa sababu walipopewa uhuru n Uingereza Nov 1963 ndipo wakapanga mapinduzi ya Januari 1864.
HAMAS (חָמַס ḥāmas)-Ḥarakah al-Muqāwamah al-ʾIslāmiyyah (حركة المقاومة الإسلامية)-jeuri, fujo, dhuluma, ugomvi, ubishi, ghiliba, chuki, uasi wa roho na kujali matakwa binafsi ya kikundi na kujikinga nyuma ya huruma ya wengine na kutupa lawama kwingine.
Huenda mkaanza kufikiriwa miaka ya mbeleniWakitaka kuomba Kura wasiinadi kabisa mana hii ndio wananchi haswa huwa wanawapa Kura wakiamin lami itakuwepo
Kuna wabunge wawili katika eneo hilo ambao ni Kitila Mkumbo-Ubungo (Robo ya Mabwepande, Mpiji, Makabe, Msumi, Makabe, Kibamba, Kiluvya na Mbezi Msakuzi na Gwajima-Kawe (Madale, Tegeta, Mbezi, Mbweni, Salasala, Goba, Bunju A & B, Mabepande robo tatu, Mbopo, Kinondo, NyakasangwaMkuu Abby uladu mbunge wa huko ni nani ili adhibiwe kwa kutowasemea kero zenu!
Iko poa, very natural kama Ngororo vile ambazo watalii wanatoka ulaya kuja kuziangalia.Awali ya yote nimshukuru Mwenyezimgu kwa kutupa uhai tena na tena..
Kumekuwepo na ngonjera nyingi na awamu nyingi zikinadi kutengeneza hii barabara kwa kiwango cha lami
Wamekuwa wakiitumia Sera hii hasa kwa wakazi wa mabwepande na bunju kuomba Kura kupitia hii barabara ila cha ajabu Hadi Leo hakuna kilichofanyika
Awamu ya Mkapa [emoji735]
Awamu ya kikwetwe[emoji735]
Awamu ya Magufuli[emoji735]
Hata mama sidhani kama anaweza kutekeleza hili
Naamini kuna viongozii humu je?
Hii barabara wameiweka kwenye kundi lipi?
Hawana mpango nayo?
Haipo kwenye ilani yao?
Mara ya mwisho Paul Makonda 2017 aliongea na wananchi maneno mengi kuhusu barabara hii lakini hakuna kinachofanyika sanasana wanaichonga Tu
NB:
Mwakani mkirudi (2024,2025)mje na plan nyengine mana hii wananchi wameshastuka
#Nanialaumiwe?#
#tupatesautizetu#
#Uvumilivuunachosha#
Stukamwananchi#View attachment 2786993View attachment 2786995View attachment 2786996View attachment 2786997
Kada Mkongwe wa CCM na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere ( MNF ) Mzee Butiku si anaishi huko huko ( Nyumba za TBA ) kwanini hawaitengenezi au hata Yeye Mwenyewe kuomba itengenezwe?
Inashangaza sana na Kufikirisha mno.
Barabara zinapita wilaya mbili na majimbo mawili ya Ubungo (Kitila) na Kinondoni jimbo la Kawe (Gwajima)Mkuu Abby uladu mbunge wa huko ni nani ili adhibiwe kwa kutowasemea kero zenu!
Sasa hivi ni Mbunge WA Waendesha Bajaj na Bodaboda WA BunjuB na Mabwepande.Mbunge wa eneo hilo aliteuliwa na Magufuli hakuchaguliwa na Wananchi!
Ni AsKofu WA Kanisa muda mwingi yupo na Masala ya Kondoo zake. Akizuka Kawe anazukia Waendesha Bajaj na Bodaboda akitumaini hili ninkundi Kubwa la kujipatia Kura ukiwawezesha Maokoto kidogo.Mbunge wa eneo husika yuko wapi?
Wakumbushwe tu kabla 2025!Barabara zinapita wilaya mbili na majimbo mawili ya Ubungo (Kitila) na Kinondoni jimbo la Kawe (Gwajima)
Swadakta hakuna ulichobakisha wananchi wa huko wamebaki na maumivu mazito juu ya serikali hii ajabu bado wapo kimya tuMkuu,
Watu kama akina Butiku, Warioba nk CCM ya sasa haiwathamini kabisa. Maeneo ya Mabwepande kuna majaji, wanasheria, watu wa usalama, wanajeshi, wafanyakazi wa benki wana nyumba zao huko lakini CCM hawajali wanazingatia sana kufanya Mbweni iwe pepo ya ardhini huku wananchi wenye umiliki halali wa ardhi huko wanavunjiwa nyumba kwa dhuluma na ghiliba.
Mbopo kuna nyumba zaidi ya 400 zilivunjwa pindi tu ilipoingia awamu hii huku wakiwaacha ya watu wao waliojenga kwenye hilo hilo hii ndio dhuluma kuu
CCM ni sawa na HAMAS ambacho nikikundi cha siasa Palestina chenye madaraka ukanda wa Gaza ikiimanisha wanajinufaisha kupitia jeuri, fujo na dhuluma kwa mgongo wa shida za wananchi wake.
CCM-Chama Cha Mapinduzi (wanampindua nani miaka yote. Hiki chama kilitakiwa kiwe cha Zanzibar kwa sababu walipopewa uhuru n Uingereza Nov 1963 ndipo wakapanga mapinduzi ya Januari 1864.
HAMAS (חָמַס ḥāmas)-Ḥarakah al-Muqāwamah al-ʾIslāmiyyah (حركة المقاومة الإسلامية)-jeuri, fujo, dhuluma, ugomvi, ubishi, ghiliba, chuki, uasi wa roho na kujali matakwa binafsi ya kikundi na kujikinga nyuma ya huruma ya wengine na kutupa lawama kwingine.
Mfuga mbuzi WA pale kaweMkuu Abby uladu mbunge wa huko ni nani ili adhibiwe kwa kutowasemea kero zenu!