Barabara ya Mabwepande jinsi ilivyotengwa na CCM

Barabara ya Mabwepande jinsi ilivyotengwa na CCM

Uko sahihi mkuu
Ubungo-Kitila
Kibamba-Mtemvu
Kawe-Gwajima

Ila barabara zinazoongelewa zinawagusa wote hao kwa mfano tazama JPM alimwagiza nini Mgugale
View attachment 2788174
View attachment 2788173
View attachment 2788176
View attachment 2788177
Tanbihi: Itabidi wananchi wa jimbo la Kibamba wamhoji mbunge Mtemvu aeleze umma eneo alilopewa na JPM ni lipi na almelifanyia nini kwa ajili ya wananchi wa Ubungo na Kibamba. Pili barabara ambazo ziliagizwa kujengwa kiwango cha lami huko Kibamba kuunganisha Ubungo ni zipi?
Mtemvu ana canter za kuuza maji kibamba,ni aibu
 
JPM alipokufa kila kitu kilikufa, japo katika hilo eneo walilopewa imejengwa shule bora na ya kisasa ya watoto wa kike ya sekondari. Nadhani mwakani itaanza kusaili watoto. Bado eneo ni kubwa, linahitaji uwekezaji mkubwa tu.

Kuhusu barabara, jimbo la Kibamba sidhani kama lina barabara za lami mkuu, ukiacha chache sana zilizojengwa kipindi Magu akiwepo.
Wamrejeshe aliyekuwa wa CDM walau kilisomeka!
Mnyika au Boniface.
 
Lich
Mbona barabara nzuri sana. Haujaona barabara za wenzio wewe!!!
Licha ya kuandika na kuwakumbusha CCM bado wameendelea kukaza fuvu..nimeambiwa barabara bado haijajengwa mpk sasa ,CCM mnapango gani na barabara ya mabwepande.
 
Dah... Tuchekiane basi. Mi ndo kiota changu. Hapa barazani nakaa huku nahesabu magari yanayopita Bagamoyo Road...
CCM walipita andiki hili kama wanaaga maiti....hawajafanya chochote.
 
Until n
Kada Mkongwe wa CCM na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere ( MNF ) Mzee Butiku si anaishi huko huko ( Nyumba za TBA ) kwanini hawaitengenezi au hata Yeye Mwenyewe kuomba itengenezwe?

Inashangaza sana na Kufikirisha mno.
Mpaka sasa CCM hawajafanya kitu .
 
Back
Top Bottom