Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
- Thread starter
- #41
Ipo siku wanantwatachoka hawatoaminiCcm ni kikundi cha wajanja wachache takiribani watu 2000 wanatawala watu 60,000,000 kwa mbinu za nani atoke nani atawale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo siku wanantwatachoka hawatoaminiCcm ni kikundi cha wajanja wachache takiribani watu 2000 wanatawala watu 60,000,000 kwa mbinu za nani atoke nani atawale.
Mkuu Hawa watu wanaodhulumiwa haki zao huwa wanaisaka Sana haki zao...ila huwa wanaginga mwamba kwa wahusika kwani hawawasaidii chochoteKwani wananchi walikua wapi wakati wanaporwa haki yao ya msingi, walichukua hatua gani zaidi ya kumsifia huyu mwendazake.
Watu washachoka mm tangu kitambo nilivyoondoka mpk Leo.....Huenda mkaanza kufikiriwa miaka ya mbeleni
Hahahah hapana sio WA hukuKwani sheikh rashid mbunge wenu anasemaje?
Waseme wanampango ganKwani sheikh rashid mbunge wenu anasemaje?
Mchochezi kivip?Ila wewe ni mchochezi tumeshakujua.
Ukiwauliza juu ya maswali haya hawawezi kukujibu wanabaki kusema tuwe wavimilivu mpaka lini?Kuna wabunge wawili katika eneo hilo ambao ni Kitila Mkumbo-Ubungo (Robo ya Mabwepande, Mpiji, Makabe, Msumi, Makabe, Kibamba, Kiluvya na Mbezi Msakuzi na Gwajima-Kawe (Madale, Tegeta, Mbezi, Mbweni, Salasala, Goba, Bunju A & B, Mabepande robo tatu, Mbopo, Kinondo, Nyakasangwa
Barabara-Makabe-Msakuzi-Mpiji (Kitila)
Barabara-Njiapanda Mlonganzila-Kibwetere-Mpiji-Mabwepande robo (Kitila)
Barabara-Makabe-Msumi (Kitila)
Barabara-Mabwepande-Bunju (Gwajima)
Barabara-Mbopo-Bunju (Gwajima)
Hizo barabara tajwa hapo juu ikianza mvua ni sawa unasafiri kwendamkioani kupitia barabara ya Ngerengere hadi Kisaki
Mbweni kwenye nyumba za kifahari barabara zake zina lami lakini imeanza baada ya uwepo wa Mabwepande, Bunju na Mbopo na Msumi ni ubaguzi wa hali ya juu sana
Mkunazi Njiwa 👆Kwani wananchi walikua wapi wakati wanaporwa haki yao ya msingi, walichukua hatua gani zaidi ya kumsifia huyu mwendazake.
Mwanzoni walisema nileteeni Gwajima....Awali ya yote nimshukuru Mwenyezimgu kwa kutupa uhai tena na tena..
Kumekuwepo na ngonjera nyingi na awamu nyingi zikinadi kutengeneza hii barabara kwa kiwango cha lami
Wamekuwa wakiitumia Sera hii hasa kwa wakazi wa mabwepande na bunju kuomba Kura kupitia hii barabara ila cha ajabu Hadi Leo hakuna kilichofanyika
Awamu ya Mkapa [emoji735]
Awamu ya kikwetwe[emoji735]
Awamu ya Magufuli[emoji735]
Hata mama sidhani kama anaweza kutekeleza hili
Naamini kuna viongozii humu je?
Hii barabara wameiweka kwenye kundi lipi?
Hawana mpango nayo?
Haipo kwenye ilani yao?
Mara ya mwisho Paul Makonda 2017 aliongea na wananchi maneno mengi kuhusu barabara hii lakini hakuna kinachofanyika sanasana wanaichonga Tu
NB:
Mwakani mkirudi (2024,2025)mje na plan nyengine mana hii wananchi wameshastuka
#Nanialaumiwe?#
#tupatesautizetu#
#Uvumilivuunachosha#
Stukamwananchi#View attachment 2786993View attachment 2786995View attachment 2786996View attachment 2786997
Kibamba ni jina la jimbo lenyewe,kiluvya pia ipo jimbo la kibamba,hilo jimbo la kibamba hasa kata ya kwembe mbunge na diwani wake toka walipochaguliwa hamna walichofanya na hata kuonekana maeneo hayo,kata ya kwembe kuna uwezekano ndio kata duni zaidi ndani ya darKuna wabunge wawili katika eneo hilo ambao ni Kitila Mkumbo-Ubungo (Robo ya Mabwepande, Mpiji, Makabe, Msumi, Makabe, Kibamba, Kiluvya na Mbezi Msakuzi na Gwajima-Kawe (Madale, Tegeta, Mbezi, Mbweni, Salasala, Goba, Bunju A & B, Mabepande robo tatu, Mbopo, Kinondo, Nyakasangwa
Barabara-Makabe-Msakuzi-Mpiji (Kitila)
Barabara-Njiapanda Mlonganzila-Kibwetere-Mpiji-Mabwepande robo (Kitila)
Barabara-Makabe-Msumi (Kitila)
Barabara-Mabwepande-Bunju (Gwajima)
Barabara-Mbopo-Bunju (Gwajima)
Hizo barabara tajwa hapo juu ikianza mvua ni sawa unasafiri kwendamkioani kupitia barabara ya Ngerengere hadi Kisaki
Mbweni kwenye nyumba za kifahari barabara zake zina lami lakini imeanza baada ya uwepo wa Mabwepande, Bunju na Mbopo na Msumi ni ubaguzi wa hali ya juu sana
Wote Hawa wanacheza sebene Tu hawana manaBarabara zinapita wilaya mbili na majimbo mawili ya Ubungo (Kitila) na Kinondoni jimbo la Kawe (Gwajima)
Sitoshangaa muda ukifika wakianza ngonjera kuwaalaghai tena wananchi maskiniKibamba ni jina la jimbo lenyewe,kiluvya pia ipo jimbo la kibamba,hilo jimbo la kibamba hasa kata ya kwembe mbunge na diwani wake toka walipochaguliwa hamna walichofanya na hata kuonekana maeneo hayo,kata ya kwembe kuna uwezekano ndio kata duni zaidi ndani ya dar
Mkuu umeandika kwa uchungu Sana...sema ndio serikali yetu wameamua kuwadhulumu wananchi waziwazi daah
Mkuu I hope nitatulia hapo kusheherekeaTuonane kikao kidogo makuti bar jioni hapo
Mwaka huu wote hao wamestukaNi AsKofu WA Kanisa muda mwingi yupo na Masala ya Kondoo zake. Akizuka Kawe anazukia Waendesha Bajaj na Bodaboda akitumaini hili ninkundi Kubwa la kujipatia Kura ukiwawezesha Maokoto kidogo.
Kuna wabunge wawili katika eneo hilo ambao ni Kitila Mkumbo-Ubungo (Robo ya Mabwepande, Mpiji, Makabe, Msumi, Makabe, Kibamba, Kiluvya na Mbezi Msakuzi na Gwajima-Kawe (Madale, Tegeta, Mbezi, Mbweni, Salasala, Goba, Bunju A & B, Mabepande robo tatu, Mbopo, Kinondo, Nyakasangwa
Barabara-Makabe-Msakuzi-Mpiji (Kitila)
Barabara-Njiapanda Mlonganzila-Kibwetere-Mpiji-Mabwepande robo (Kitila)
Barabara-Makabe-Msumi (Kitila)
Barabara-Mabwepande-Bunju (Gwajima)
Barabara-Mbopo-Bunju (Gwajima)
Hizo barabara tajwa hapo juu ikianza mvua ni sawa unasafiri kwendamkioani kupitia barabara ya Ngerengere hadi Kisaki
Mbweni kwenye nyumba za kifahari barabara zake zina lami lakini imeanza baada ya uwepo wa Mabwepande, Bunju na Mbopo na Msumi ni ubaguzi wa hali ya juu sana
Huko mbunge siyo Rashid kweli? Anawapeleka wananchi ziarani Japan huku hawana barabaraAwali ya yote nimshukuru Mwenyezimgu kwa kutupa uhai tena na tena..
Kumekuwepo na ngonjera nyingi na awamu nyingi zikinadi kutengeneza hii barabara kwa kiwango cha lami
Wamekuwa wakiitumia Sera hii hasa kwa wakazi wa mabwepande na bunju kuomba Kura kupitia hii barabara ila cha ajabu Hadi Leo hakuna kilichofanyika
Awamu ya Mkapa [emoji735]
Awamu ya kikwetwe[emoji735]
Awamu ya Magufuli[emoji735]
Hata mama sidhani kama anaweza kutekeleza hili
Naamini kuna viongozii humu je?
Hii barabara wameiweka kwenye kundi lipi?
Hawana mpango nayo?
Haipo kwenye ilani yao?
Mara ya mwisho Paul Makonda 2017 aliongea na wananchi maneno mengi kuhusu barabara hii lakini hakuna kinachofanyika sanasana wanaichonga Tu
NB:
Mwakani mkirudi (2024,2025)mje na plan nyengine mana hii wananchi wameshastuka
#Nanialaumiwe?#
#tupatesautizetu#
#Uvumilivuunachosha#
Stukamwananchi#View attachment 2786993View attachment 2786995View attachment 2786996View attachment 2786997
Ni kuwa na subira tuWatu washachoka mm tangu kitambo nilivyoondoka mpk Leo.....
Ushauri Bora kabisa sijui Kam Mzee wa kuchunga kondoo kama atalifikisha hiliMkuu kwa maoni yangu naona uwekwe utaratibu wa lazima kuwa katika jumla ya urefu wa kilomita za barabara zote ambazo Tanroad wanasimia nchini kwa mwaka kuwepo asilimia 30% ambayo itaenda kujenga Barabara za majiji yetu ambayo ni Ilala, Dodoma, Mwanza, Mbeya, Tanga na Arusha.
Hebu fikiria kwa pato ambalo Jijini la Ilala (Dar es salaam) inaliingizia taifa letu ingekuwa kwa mwaka inapata kilomita 250 tu ambazo kilomita 50 zikagawanywa kwa kila Wilaya. Fikiria ni jinsi gani jiji la Ilala(Dar es salaam) lingebadilika!
Barabara za jiji la Ilala (Dar es salaam) ndani ya wilaya moja zimezidi sana ni kilomita 7 au 8 kwa barabara moja, katika kilomita 50 ingeweza kumaliza sehemu kubwa. Kwa awamu mmoja tatizo la barabara litakuwa limeisha.
Majiji mengine yakipata kilomita 50, kwa awamu moja nayo yatakuwa yamemaliza tatizo la barabara kabisa.
Vinginevyo tutakesha na madimbwi, Mashimo miaka nenda rudi kitu ambacho ni hasara kubwa kwa Taifa.
Nawasilisha. Ijumaa Kareem!
Huku ni mchunga mbuzi Yule wa kawe...kazi ukutembelea bodaboda na kuwabless buku 5 za mafuta ila kuhusu barabara Hana muda nayoHuko mbunge siyo Rashid kweli? Anawapeleka wananchi ziarani Japan huku hawana barabara