Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
- Thread starter
- #61
Tatiz huwa wanaahidi kuwa wataijenga utasikia(kwa mfano)Ni kuwa na subira tu
Itajengwa kuanzia Mbezi kupitia Mpigi Magoe, Mabwepande mpaka Bunju
Pale Mpigi Chama kutajengwa kipande kitakachoenda mpaka Kibamba na daraja lilishajengwa
Lengo la serikali kwa sasa ni kutaka kuwasaidia wananchi wa Dar na viunga vyake kuwa na urahisi wa kufika Magufuli Bus Terminal na hospitali ya Mloganzila
Kwa hiyo barabara ya Mabwepande ni miongoni mwa barabara itakayojengwa kutimiza lengo hilo
Inasubiriwa mradi wa maji ukamilike kwanza ambao tayari umeshafika Mpigi
"Hii barabara serikali itaifanyia maajabu kwa kuibadilisha iwe kiwango cha lami,shida ya usafiri itakuwa sio shida zetu...(makofi ya pongezi kwa mnadi Sera)...cha msingi chagua CCM ...."
Wananchi"sema Baba tunawaamini"
Matokeo yake wakipata Kula hawana muda....
#mwanachistuka#
#uvumilivuunamwisho#