Barabara ya Mabwepande jinsi ilivyotengwa na CCM

Mkuu,
Watu kama akina Butiku, Warioba nk CCM ya sasa haiwathamini kabisa. Maeneo ya Mabwepande kuna majaji, wanasheria, watu wa usalama, wanajeshi, wafanyakazi wa benki wana nyumba zao huko lakini CCM hawajali wanazingatia sana kufanya Mbweni iwe pepo ya ardhini huku wananchi wenye umiliki halali wa ardhi huko wanavunjiwa nyumba kwa dhuluma na ghiliba.

Mbopo kuna nyumba zaidi ya 400 zilivunjwa pindi tu ilipoingia awamu hii huku wakiwaacha ya watu wao waliojenga kwenye hilo hilo hii ndio dhuluma kuu

CCM ni sawa na HAMAS ambacho nikikundi cha siasa Palestina chenye madaraka ukanda wa Gaza ikiimanisha wanajinufaisha kupitia jeuri, fujo na dhuluma kwa mgongo wa shida za wananchi wake.
CCM-Chama Cha Mapinduzi (wanampindua nani miaka yote. Hiki chama kilitakiwa kiwe cha Zanzibar kwa sababu walipopewa uhuru n Uingereza Nov 1963 ndipo wakapanga mapinduzi ya Januari 1864.
HAMAS (חָמַס ḥāmas)-Ḥarakah al-Muqāwamah al-ʾIslāmiyyah (حركة المقاومة الإسلامية)-jeuri, fujo, dhuluma, ugomvi, ubishi, ghiliba, chuki, uasi wa roho na kujali matakwa binafsi ya kikundi na kujikinga nyuma ya huruma ya wengine na kutupa lawama kwingine.
Mkuu umeandika kwa uchungu Sana...sema ndio serikali yetu wameamua kuwadhulumu wananchi waziwazi daah
 
Kwani wananchi walikua wapi wakati wanaporwa haki yao ya msingi, walichukua hatua gani zaidi ya kumsifia huyu mwendazake.
 
Attachments

  • AC217C9A-0B17-4393-B084-3E2E3FB38443.jpeg
    AC217C9A-0B17-4393-B084-3E2E3FB38443.jpeg
    66.9 KB · Views: 4
Mkuu,
Watu kama akina Butiku, Warioba nk CCM ya sasa haiwathamini kabisa. Maeneo ya Mabwepande kuna majaji, wanasheria, watu wa usalama, wanajeshi, wafanyakazi wa benki wana nyumba zao huko lakini CCM hawajali wanazingatia sana kufanya Mbweni iwe pepo ya ardhini huku wananchi wenye umiliki halali wa ardhi huko wanavunjiwa nyumba kwa dhuluma na ghiliba.

Mbopo kuna nyumba zaidi ya 400 zilivunjwa pindi tu ilipoingia awamu hii huku wakiwaacha ya watu wao waliojenga kwenye hilo hilo hii ndio dhuluma kuu

CCM ni sawa na HAMAS ambacho nikikundi cha siasa Palestina chenye madaraka ukanda wa Gaza ikiimanisha wanajinufaisha kupitia jeuri, fujo na dhuluma kwa mgongo wa shida za wananchi wake.
CCM-Chama Cha Mapinduzi (wanampindua nani miaka yote. Hiki chama kilitakiwa kiwe cha Zanzibar kwa sababu walipopewa uhuru n Uingereza Nov 1963 ndipo wakapanga mapinduzi ya Januari 1864.
HAMAS (חָמַס ḥāmas)-Ḥarakah al-Muqāwamah al-ʾIslāmiyyah (حركة المقاومة الإسلامية)-jeuri, fujo, dhuluma, ugomvi, ubishi, ghiliba, chuki, uasi wa roho na kujali matakwa binafsi ya kikundi na kujikinga nyuma ya huruma ya wengine na kutupa lawama kwingine.
Bila aibu sitoshangaa wakija tena kwa mbinu hii CCM sijui nan kawaroga wizi wazi na kudhulumu haki za wananchi
 
Mkuu Abby uladu mbunge wa huko ni nani ili adhibiwe kwa kutowasemea kero zenu!
Kuna wabunge wawili katika eneo hilo ambao ni Kitila Mkumbo-Ubungo (Robo ya Mabwepande, Mpiji, Makabe, Msumi, Makabe, Kibamba, Kiluvya na Mbezi Msakuzi na Gwajima-Kawe (Madale, Tegeta, Mbezi, Mbweni, Salasala, Goba, Bunju A & B, Mabepande robo tatu, Mbopo, Kinondo, Nyakasangwa
Barabara-Makabe-Msakuzi-Mpiji (Kitila)
Barabara-Njiapanda Mlonganzila-Kibwetere-Mpiji-Mabwepande robo (Kitila)
Barabara-Makabe-Msumi (Kitila)
Barabara-Mabwepande-Bunju (Gwajima)
Barabara-Mbopo-Bunju (Gwajima)
Hizo barabara tajwa hapo juu ikianza mvua ni sawa unasafiri kwendamkioani kupitia barabara ya Ngerengere hadi Kisaki
Mbweni kwenye nyumba za kifahari barabara zake zina lami lakini imeanza baada ya uwepo wa Mabwepande, Bunju na Mbopo na Msumi ni ubaguzi wa hali ya juu sana
 
Awali ya yote nimshukuru Mwenyezimgu kwa kutupa uhai tena na tena..

Kumekuwepo na ngonjera nyingi na awamu nyingi zikinadi kutengeneza hii barabara kwa kiwango cha lami

Wamekuwa wakiitumia Sera hii hasa kwa wakazi wa mabwepande na bunju kuomba Kura kupitia hii barabara ila cha ajabu Hadi Leo hakuna kilichofanyika

Awamu ya Mkapa [emoji735]

Awamu ya kikwetwe[emoji735]

Awamu ya Magufuli[emoji735]

Hata mama sidhani kama anaweza kutekeleza hili

Naamini kuna viongozii humu je?

Hii barabara wameiweka kwenye kundi lipi?

Hawana mpango nayo?

Haipo kwenye ilani yao?

Mara ya mwisho Paul Makonda 2017 aliongea na wananchi maneno mengi kuhusu barabara hii lakini hakuna kinachofanyika sanasana wanaichonga Tu

NB:

Mwakani mkirudi (2024,2025)mje na plan nyengine mana hii wananchi wameshastuka

#Nanialaumiwe?#
#tupatesautizetu#
#Uvumilivuunachosha#
Stukamwananchi#View attachment 2786993View attachment 2786995View attachment 2786996View attachment 2786997
Iko poa, very natural kama Ngororo vile ambazo watalii wanatoka ulaya kuja kuziangalia.
 
Kada Mkongwe wa CCM na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere ( MNF ) Mzee Butiku si anaishi huko huko ( Nyumba za TBA ) kwanini hawaitengenezi au hata Yeye Mwenyewe kuomba itengenezwe?

Inashangaza sana na Kufikirisha mno.

Mbunge wa eneo husika yuko wapi?
 
Mbunge wa eneo husika yuko wapi?
Ni AsKofu WA Kanisa muda mwingi yupo na Masala ya Kondoo zake. Akizuka Kawe anazukia Waendesha Bajaj na Bodaboda akitumaini hili ninkundi Kubwa la kujipatia Kura ukiwawezesha Maokoto kidogo.
 
Mkuu,
Watu kama akina Butiku, Warioba nk CCM ya sasa haiwathamini kabisa. Maeneo ya Mabwepande kuna majaji, wanasheria, watu wa usalama, wanajeshi, wafanyakazi wa benki wana nyumba zao huko lakini CCM hawajali wanazingatia sana kufanya Mbweni iwe pepo ya ardhini huku wananchi wenye umiliki halali wa ardhi huko wanavunjiwa nyumba kwa dhuluma na ghiliba.

Mbopo kuna nyumba zaidi ya 400 zilivunjwa pindi tu ilipoingia awamu hii huku wakiwaacha ya watu wao waliojenga kwenye hilo hilo hii ndio dhuluma kuu

CCM ni sawa na HAMAS ambacho nikikundi cha siasa Palestina chenye madaraka ukanda wa Gaza ikiimanisha wanajinufaisha kupitia jeuri, fujo na dhuluma kwa mgongo wa shida za wananchi wake.
CCM-Chama Cha Mapinduzi (wanampindua nani miaka yote. Hiki chama kilitakiwa kiwe cha Zanzibar kwa sababu walipopewa uhuru n Uingereza Nov 1963 ndipo wakapanga mapinduzi ya Januari 1864.
HAMAS (חָמַס ḥāmas)-Ḥarakah al-Muqāwamah al-ʾIslāmiyyah (حركة المقاومة الإسلامية)-jeuri, fujo, dhuluma, ugomvi, ubishi, ghiliba, chuki, uasi wa roho na kujali matakwa binafsi ya kikundi na kujikinga nyuma ya huruma ya wengine na kutupa lawama kwingine.
Swadakta hakuna ulichobakisha wananchi wa huko wamebaki na maumivu mazito juu ya serikali hii ajabu bado wapo kimya tu
 
Back
Top Bottom