Barabara ya Mabwepande jinsi ilivyotengwa na CCM

Tatiz huwa wanaahidi kuwa wataijenga utasikia(kwa mfano)

"Hii barabara serikali itaifanyia maajabu kwa kuibadilisha iwe kiwango cha lami,shida ya usafiri itakuwa sio shida zetu...(makofi ya pongezi kwa mnadi Sera)...cha msingi chagua CCM ...."

Wananchi"sema Baba tunawaamini"

Matokeo yake wakipata Kula hawana muda....

#mwanachistuka#
#uvumilivuunamwisho#
 
Kitila ni Ubungo na sio Kibamba, naona umempa ubunge wa Kibamba mkuu.
 
Ni kweli, kata ya Kwembe ni duni sana, haina hata njia koja ya lami japo maji yapo kwa asilimia nzuri sana. Miundombinu ya barabara, na lile dongo la mfinyanzi linafanya njia zisipitike kabisa lipindi cha mvua.
 
Ipendeni Kivitendo Serikali ya CCM ya Rais Samia Suluhu Hassan sasa hivi mtawekewa huo Mkeka ( Lami ) huko Mabwepande Kwenu sawa Mkuu?
Kwani umeambiwa Kuna chuki!?
Shida ipo kwa watendaji hata kama pesa imetengwa hawawajibiki. Kila kitu Sa100 !

Hivi kwani TARURA kazi yao ni nini na pesa inayotengwa inaenda wapi.
Barabara nyingi sana Dar ni mbovu kabisa na mvua ikinyesha ni majanga!
 
Ni kweli, kata ya Kwembe ni duni sana, haina hata njia koja ya lami japo maji yapo kwa asilimia nzuri sana. Miundombinu ya barabara, na lile dongo la mfinyanzi linafanya njia zisipitike kabisa lipindi cha mvua.
Tuanze kampeni ya wananchi kuwastukia hawa wanaofake ahadi zao inaumiza mnoo
 
Kwani umeambiwa Kuna chuki!?
Shida ipo kwa watendaji hata kama pesa imetengwa hawawajibiki. Kila kitu Sa100 !

Hivi kwani TARURA kazi yao ni nini na pesa inayotengwa inaenda wapi.
Barabara nyingi sana Dar ni mbovu kabisa na mvua ikinyesha ni majanga!
Genta...ashanza kulamba asali si ajabu na yeye akiwa mcheza sebene na Mama huku wachovu wakiahidiwa maendeleo hewa

GENTAMYCINE stuka
 
Ni kweli, kata ya Kwembe ni duni sana, haina hata njia koja ya lami japo maji yapo kwa asilimia nzuri sana. Miundombinu ya barabara, na lile dongo la mfinyanzi linafanya njia zisipitike kabisa lipindi cha mvua.
Kipindi cha mvua kule ni hatari,yule mtemvu 2025 halafu atarudi tena kuomba kura!
 
Yatapita mkuu
 
Mabwe pande kuna wapinzani tupu😆😆
 
Kitila ni Ubungo na sio Kibamba, naona umempa ubunge wa Kibamba mkuu.
Uko sahihi mkuu
Ubungo-Kitila
Kibamba-Mtemvu
Kawe-Gwajima

Ila barabara zinazoongelewa zinawagusa wote hao kwa mfano tazama JPM alimwagiza nini Mgugale

Tanbihi: Itabidi wananchi wa jimbo la Kibamba wamhoji mbunge Mtemvu aeleze umma eneo alilopewa na JPM ni lipi na almelifanyia nini kwa ajili ya wananchi wa Ubungo na Kibamba. Pili barabara ambazo ziliagizwa kujengwa kiwango cha lami huko Kibamba kuunganisha Ubungo ni zipi?
 
JPM alipokufa kila kitu kilikufa, japo katika hilo eneo walilopewa imejengwa shule bora na ya kisasa ya watoto wa kike ya sekondari. Nadhani mwakani itaanza kusaili watoto. Bado eneo ni kubwa, linahitaji uwekezaji mkubwa tu.

Kuhusu barabara, jimbo la Kibamba sidhani kama lina barabara za lami mkuu, ukiacha chache sana zilizojengwa kipindi Magu akiwepo.
 
Eneo hilo la hekari 52 liko sehemu gani na uwekezaji uliousema unaweza kuuonesha kwa picha ili wananchi wafike hapo kuthibitisha? Hiyo shule iliyojengwa inaitwaje?

Inadaiwa pia huyo mbunge wa Kibamba amejitwalia maeneo huko Mbopo na Mabwepande hebu tufafanulie kwa uwazi ili taarifa za mitaani zife.
 
Barabaran hii ipo chini ya Tanroad inajngwa kwa Vipande imeanzia Kibamba Shule itakuja mpaka Mpiji - Mapwepande - Bunju

Kiufupi ipo kwenye ujenzi ilicheleweshwa na kesi ya Fidia Kwa Sasa Kibamba lami imejengwa na kumependeza sana
 
Na hii inayokuja stand ya Magufuli pale ilipoishia round about (Mbezi High School)??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…