Barabara ya Mabwepande jinsi ilivyotengwa na CCM

Mtemvu ana canter za kuuza maji kibamba,ni aibu
 
Wamrejeshe aliyekuwa wa CDM walau kilisomeka!
Mnyika au Boniface.
 
Lich
Mbona barabara nzuri sana. Haujaona barabara za wenzio wewe!!!
Licha ya kuandika na kuwakumbusha CCM bado wameendelea kukaza fuvu..nimeambiwa barabara bado haijajengwa mpk sasa ,CCM mnapango gani na barabara ya mabwepande.
 
Dah... Tuchekiane basi. Mi ndo kiota changu. Hapa barazani nakaa huku nahesabu magari yanayopita Bagamoyo Road...
CCM walipita andiki hili kama wanaaga maiti....hawajafanya chochote.
 
Until n
Kada Mkongwe wa CCM na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere ( MNF ) Mzee Butiku si anaishi huko huko ( Nyumba za TBA ) kwanini hawaitengenezi au hata Yeye Mwenyewe kuomba itengenezwe?

Inashangaza sana na Kufikirisha mno.
Mpaka sasa CCM hawajafanya kitu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…