KERO Barabara ya Mbamba-Bay - Liuli/Kiagara kipande cha 2 km bado ni sehemu korofi wakati wa mvua

KERO Barabara ya Mbamba-Bay - Liuli/Kiagara kipande cha 2 km bado ni sehemu korofi wakati wa mvua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Barabara ya mbamba-bay to Liuli/Kiagara(apo ni Lipingo) kipande cha km mbili na pointi ni miaka mingi sasa bado ni sehemu korofi sana wakati wa mvua
IMG_6894.jpeg
IMG_6888.jpeg
 
Patajengwa, naskia mbunge wa huko ni dugu moja na makamu
 
Msimu wa mvua huu ni shida,mbona hiyo ni nzuri,,umeiona ya huko kindimba Kwa waziri judithi🙌,Hadi mtu unajiuliza huku wanaishi binadamu au 🚮
Watengeneze na barabara ya njombe to songea,barabara Ina mashimo Hadi kero,na haya maroli yao ya makaa yanaharibu barabara.
 
Back
Top Bottom