KERO Barabara ya Mbamba-Bay - Liuli/Kiagara kipande cha 2 km bado ni sehemu korofi wakati wa mvua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Barabara ya mbamba-bay to Liuli/Kiagara(apo ni Lipingo) kipande cha km mbili na pointi ni miaka mingi sasa bado ni sehemu korofi sana wakati wa mvua
 
Patajengwa, naskia mbunge wa huko ni dugu moja na makamu
 
BARABARA YA KAMBONA HIYO ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Msimu wa mvua huu ni shida,mbona hiyo ni nzuri,,umeiona ya huko kindimba Kwa waziri judithi๐Ÿ™Œ,Hadi mtu unajiuliza huku wanaishi binadamu au ๐Ÿšฎ
Watengeneze na barabara ya njombe to songea,barabara Ina mashimo Hadi kero,na haya maroli yao ya makaa yanaharibu barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ