Barabara ya Morocco - Mwenge imetanuliwa ila njia zimepungua toka 5 hadi 4

Barabara ya Morocco - Mwenge imetanuliwa ila njia zimepungua toka 5 hadi 4

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Baada ya pesa za sherehe za Muungano kutumika kuitanua barabara hiyo toka njia 3 hadi 5, kuna ujenzi mwingime wa kimiujiza sana naona umetokea hapo.

Baada ya mabilioni ya kutosha kumwagwa hapo kuitanua barabara hiyo, sasa njia za magari zimepungua toka njia 5 hadi 4, muujiza gani huu?!

==========================
Update: 03/05/2023

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hii nchi haina mipango yamiaka hata 20 wao ni mitanoikizidi 10 sasa cha ajabu unaharibu mpango wa miaka 5 uliyokamilika ili ujenge ulichokipanga miaka 10
 
Baada ya pesa za sherehe za Muungano kutumika kuitanua barabara hiyo toka njia 3 hadi 5, **** ujenzi mwingime wa kimiujiza sana naona umetokea hapo.

Baada ya mabilioni ya kutosha kumwagwa hapo kuitanua barabara hiyo, sasa njia za magari zimepungua toka njia 5 hadi 4, muujiza gani huu?
Uwe unafuatilia mambo na sio kukurupuka, huoni hapo katikati kuna nafasi ya nini? Au unadhani BRT phase 5 watavunja tena wajenge?
 
Uwe unafuatilia mambo na sio kukurupuka, huoni hapo katikati kuna nafasi ya nini? Au unadhani BRT phase 5 watavunja tena wajenge?
Sasa huo si utaahira? Angalia mwendokasi zote jinsi zinavyojengwa, ile njia ya mwendokasi inakengwa sambamba na barabara za pembeni ili kuzihuisha na miundombinu za vituo, maji ya mvua, zebra crossing nk; hivyo lazima hii itakuja kufukuliwa hata kama si yote; ona BRT ya sasa toka Magomeni hadi karume, lazima barabara ya pembeni ifumukiwe kuendana na BRT lanes.

Halafu kwanini upunguze efficiency ya barabara toka njia 5 hadi 4 kwa excuse ya BRT? Kwanini usisubiri hadi ujenzi wa BRT uanze ili ifanyike moja kwa moja? Hebu niambie, ule ujenzi umeachieve nini ambacho hakikuwepo mwanzo zaidi ya kupunguza achievement iliyofsnywa nyuma toka njia 5 hadi 4? Goal ya mradi ilikuwa kuleta foleni au?
 
Kwakweli pale wameshangaza sana wameweka zile kingo za pembeni (capstone), service road na taa. Wameacha nafasi kubwa katikati. Kama ni brt wangeijienga kabisa kuokoa gharama na usumbufu wa kurudia rudia.

2016 ikijengwa, 2019 mpaka sasa inajengwa tena, 202? Itajengwa tena?
 
2016 ikijengwa, 2019 mpaka sasa inajengwa tena, 202? Itajengwa tena??
Ndio maana nauliza, muujiza gani huu?
 
Kwakweli pale wameshangaza sana wameweka zile kingo za pembeni (capstone), service road na taa. Wameacha nafasi kubwa katikati. Kama ni brt wangeijienga kabisa kuokoa gharama na usumbufu wa kurudia rudia.

2016 ikijengwa, 2019 mpaka sasa inajengwa tena, 202? Itajengwa tena?
HAHAHA!kuna jamaa mmoja alinambia mbona hizi barabara kila siku zinajengwa
Hawamalizi

Ova
 
HAHAHA!kuna jamaa mmoja alinambia mbona hizi barabara kila siku zinajengwa
Hawamalizi

Ova
Halafu wakimaliza tunakuwa tumerudi nyuma, barabara ilipanuliwa kwa pesa za sherehe za uhuru zikawa njia 5 toka njia 3, leo wamemwaga matrilioni hapo ili tu kupunguzaa kutoka njia 5 hadi njia 4, yani wanaturudisha nyuma tena kwa kutumia pesa nyingi
 
Sasa huo si utaahira? Angalia mwendokasi zote jinsi zinavyojengwa, ile njia ya mwendokasi inakengwa sambamba na barabara za pembeni ili kuzihuisha na miundombinu za vituo, maji ya mvua, zebra crossing nk; hivyo lazima hii itakuja kufukuliwa hata kama si yote; ona BRT ya sasa toka Magomeni hadi karume, lazima barabara ya pembeni ifumukiwe kuendana na BRT lanes.

Halafu kwanini upunguze efficiency ya barabara toka njia 5 hadi 4 kwa excuse ya BRT? Kwanini usisubiri hadi ujenzi wa BRT uanze ili ifanyike moja kwa moja? Hebu niambie, ule ujenzi umeachieve nini ambacho hakikuwepo mwanzo zaidi ya kupunguza achievement iliyofsnywa nyuma toka njia 5 hadi 4? Goal ya mradi ilikuwa kuleta foleni au?

Hiyo Barabara imegengwa kwa kuzingatia miundombinu ya BRT kama vile lane na vituo vyote, mjenzi wa BRT hatalazimika tena kubomoa barabara za pembeni kama huko kwingine. Tafuta humu designing yake na maelezo ya Financiers (JIKA) utaona. Acha kurukia mambo juu juu kama huna taarifa sahihi.
 
Ndio na mimi nikakuuliza, kulikuwa na haja gani ya kutumia matrillion ili kuounguza ufanisi wa barabara kutoka njia 5 hadi njia 4?! Yaani kabla ya ujenzi huu barabara ilikuwa na njia 5 na lami yake ilikuwa bado mpya tu maana ni juzi juzi tu pesa za uhuru zilitumika kutanua na kuweka lami mpya pembeni, ila baada ya kumwaga matrillion hapo na kuvunja barabara iliyotanuliwa kwa pesa za uhuru, sasa tumerudi nyuma tena, barabara imepungua ufanisi na kua ya njia 4, sasa goals za huu mradi zilikuwa ni zipi? Kupunguza flow ya magari nankuongeza foleni? Kama ni mwendokasi si huwa zinajengwa kwa pamoja ili kupunguza ususmbufu wa kufunga njia mra mbilimbili na kuvunja vipande vya lami ili kupisha miundombinu ya BRT kama drainage systems, zebra crossings, junctions nk?, mfano ni BRT inayojengwa toka Magomeni hadi Karume, ona ile timua timua, sasa mnataka baada ya hapo tena mtuletee tena ile timua timua wakati mngeweza kusubiri ili ifanyike kwa pamoja. Kulikuwa na uharaka gani wa kupunguza njia 5 ziwe 4? Zile njia 5 mliona tunafaidi sana au?!!
 
Ndio na mimi nikakuuliza, kulikuwa na haja gani ya kutumia matrillion ili kuounguza ufanisi wa barabara kutoka njia 5 hadi njia 4?! Yaani kabla ya ujenzi huu barabara ilikuwa na njia 5 na lami yake ilikuwa bado mpya tu maana ni juzi juzi tu pesa za uhuru zilitumika kutanua na kuweka lami mpya pembeni, ila baada ya kumwaga matrillion hapo na kuvunja barabara iliyotanuliwa kwa pesa za uhuru, sasa tumerudi nyuma tena, barabara imepungua ufanisi na kua ya njia 4, sasa goals za huu mradi zilikuwa ni zipi? Kupunguza flow ya magari nankuongeza foleni? Kama ni mwendokasi si huwa zinajengwa kwa pamoja ili kupunguza ususmbufu wa kufunga njia mra mbilimbili na kuvunja vipande vya lami ili kupisha miundombinu ya BRT kama drainage systems, zebra crossings, junctions nk?, mfano ni BRT inayojengwa toka Magomeni hadi Karume, ona ile timua timua, sasa mnataka baada ya hap tena mtuletee tena ile timua timua wakati mngeweza kusubiri iki ifanyike kwa pamoja. Kukikuwa na uharaka gani wa kuounguza njia 5 ziwe 4? Zile njia 5 mliona tunafaidi sana au?!!
ndio ma engineer wetu hao mkuu wote ni vishoka
 
Mazuzu nyinyi,pale kati Kuna njia ya mwendokasi
Ndio na mimi nakuuliza, kulikuwa na haja gani ya kutumia matrillion ili kuounguza ufanisi wa barabara kutoka njia 5 hadi njia 4?! Yaani kabla ya ujenzi huu barabara ilikuwa na njia 5 na lami yake ilikuwa bado mpya tu maana ni juzi juzi tu pesa za uhuru zilitumika kutanua na kuweka lami mpya pembeni, ila baada ya kumwaga matrillion hapo na kuvunja barabara iliyotanuliwa kwa pesa za uhuru, sasa tumerudi nyuma tena, barabara imepungua ufanisi na kua ya njia 4, sasa goals za huu mradi zilikuwa ni zipi? Kupunguza flow ya magari nankuongeza foleni? Kama ni mwendokasi si huwa zinajengwa kwa pamoja ili kupunguza ususmbufu wa kufunga njia mra mbilimbili na kuvunja vipande vya lami ili kupisha miundombinu ya BRT kama drainage systems, zebra crossings, junctions nk?, mfano ni BRT inayojengwa toka Magomeni hadi Karume, ona ile timua timua, sasa mnataka baada ya hapo tena mtuletee tena ile timua timua wakati mngeweza kusubiri ili ifanyike kwa pamoja. Kulikuwa na uharaka gani wa kupunguza njia 5 ziwe 4? Zile njia 5 mliona tunafaidi sana au?!!
 
Back
Top Bottom