Barabara ya Morocco - Mwenge imetanuliwa ila njia zimepungua toka 5 hadi 4

Kwa komenti hii wewe ni mpuuzi na kilaza. Hata kiswahili kwako matatizo ati ela; inaitwa Hela
we msukuma hapo umeelewa nini , mtu akikuambia wewe ni mthenge atakuwa kakutukana au kakosea kuandika vizuri ilo tusi ,utamwambia sijaelewa
 
Mwendazake alitaka cheap popularity, pamoja na kujua na bila ya kuzingatia Mpango mkakati kwamba hiyo njia inatakiwa iwe na mwendokasi, akalazimisha ijengwe barabara ya njia tano kwa fedha za sherehe za Muungano.
Leo tunagharamika kurudia kilichopuuzwa na mtu mmoja na sifa zake na itachukua miaka mingi pia kughamikia mengine
 
Ndio na mimi nikuuliza, kulikuwa na haja gani ya kutumia matrillion ili kuounguza ufanisi wa barabara kutoka njia 5 hadi njia 4?! Yaani kabla ya ujenzi huu barabara ilikuwa na njia 5 na lami yake ilikuwa bado mpya tu maana ni juzi juzi tu pesa za uhuru zilitumika kutanua na kuweka lami mpya pembeni, ila baada ya kumwaga matrillion hapo na kuvunja barabara iliyotanuliwa kwa pesa za uhuru, sasa tumerudi nyuma tena, barabara imepungua ufanisi na kua ya njia 4, sasa goals za huu mradi zilikuwa ni zipi? Kupunguza flow ya magari nankuongeza foleni? Kama ni mwendokasi si huwa zinajengwa kwa pamoja ili kupunguza ususmbufu wa kufunga njia mra mbilimbili na kuvunja vipande vya lami ili kupisha miundombinu ya BRT kama drainage systems, zebra crossings, junctions nk?, mfano ni BRT inayojengwa toka Magomeni hadi Karume, ona ile timua timua, sasa mnataka baada ya hapo tena mtuletee tena ile timua timua wakati mngeweza kusubiri ili ifanyike kwa pamoja. Kulikuwa na uharaka gani wa kupunguza njia 5 ziwe 4? Zile njia 5 mliona tunafaidi sana au?!!
 
Anayepaswa kujibu ni Marehemu mwendazake. Mimi kama mwananchi sina jibu mkuu
 
Waliotoa pesa za kupanua hiyo barabara ni Serikali ya Japan kupitia JICA. Mradi wa Mwendokasi Phase 4 ulikuwa haujapata financier, ni juzi tu hapa WB ndio wamesema watatoa hela. Wakati Japan yuko tayari kutoa hela tusingemwambia subiri pesa hiyo mpaka tupate mkopo wa phase 4, conditions zilizowekwa ni kuhakikisha tu kuwa upanuzi huo unazingatia miundombinu ya BRT ili tusije kubomoa tena. Na ndio maana hata ukiangalia bango la mradi pale Morocco wamekuchorea kabisa BRT lanes. Kama hutaki kuelewa na hili basi tusubiri muda tuone nini kitatokea.
 
Hivi mtu anakupa msaada kubomoa nyumba yako ya vyumba vitano na kuibadilisha iwe ya vyumba vinne, ukizingatia nyumba yako bado ni mpya na ndio umetoka kuitanua kwa pesa iliyookoa kwenye sherehe ya birthday yako, huo ni msaada au ni nini?
 
Baada ya pesa za sherehe za Muungano kutumika kuitanua barabara hiyo toka njia 3 hadi 5, **** ujenzi mwingime wa kimiujiza sana naona umetokea hapo.

Baada ya mabilioni ya kutosha kumwagwa hapo kuitanua barabara hiyo, sasa njia za magari zimepungua toka njia 5 hadi 4, muujiza gani huu?!
😤😤
 
Acha kulishawenzako watango pori ile barabara ni msaada ya Japan, sijui umepata wapi izo taarifa za hela ya muungano kujenga pale!

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Kabla ya huu ujenzi ile barabara ilitanuliwankwa pesa za uhuru na kuwa njian5, sasa sijui ni kichwa kizito au ni nini?
 
Back
Top Bottom