TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Hapo nimepita jana wakati naenda zangu Goba nikajiuliza hivyo hivyo,mwisho nikajiongeza pasi na shaka kwamba lazima itakuwa imewekwa kwa ajiri ya mwendokasi hapo katikati zinapokatiza gari za Makumbusho kuingia stand