FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #101
ππππππππ, wanalima lami?!!!Hiyo ndo maana halisi ya kulima lami mjini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππ, wanalima lami?!!!Hiyo ndo maana halisi ya kulima lami mjini.
Mimi siyo kijana kwanza naweza kukuzaa huku napanda dalada za mbagala.Pia nimejibu swali la uzi ulioulizwa km ulijua hiyo road no#5 wewe pia ungepaswa kutuelimisha siyo unani quote wkt miye nachangia hbr za mleta mada.Vijana muache uzushi na negativity Kwa taifa lenu
pale kuna middle lane ambayo haijafunguliwa
most likely itakua ya DART
sijui kwanini watu tunapenda kuropokwa
Shujaa mshambaMtanikumbuka, kifo cha shujaa no dhahili kila kona.
Hilo eneo kwa dsm hii ndio limepata bahati ya kuwa la mfano,yaani njia za waenda kwa miguu zimewekwa kwa viwango vyote.unatembea hata huna wasi wasi.Barabara imejengwa kwa viwango vya Kimataifa, lami safi kabisa, pedestrians walks, na service roads on the other sides, mfumo kabambe ardhini wa maji taka na mvua, internet na umeme bila kulazimika uchimbaji tena kama tulivyozoea huko nyuma. Reserve imeachwa katikati kukidhi kabisa ujenzi wa BRT na vituo vyake bila kubomoa barabara za pembeni [rejea design ya mradi toka kwa financier (JICA)] lakini wanakuja hapa vijana wajuaji na kelele nyingiiii bila kujielimisha au kutafuta taarifa sahihi sababu tu wana smart phones na kujua kuandika na kuanza kutukumbusha zile njia za gombania goli bila mifumo ya maji, wala taa za barabarani. Ujuaji wa vitu ambavyo hata hawajui, hii nchi ina ujinga mwingi sana.
Hizi hesabu sijui za wapi?Kwamba kupunguza njia toka 5 hadi 4, kazi yote na pesa yote ile ni ili kuweka lami service road na kuacha nafasi katikati kwa ajili ya ujenzi wa BRT miaka 5 - 10 ijayo?
Lanes zinazotumika kwa sasa ni ngapi?Kwani lanes zimepungua?
Hapo kabla zilikuwa ni 2x2, with an extra 5th lane in between kama one way, ikifanya kazi ya ama kurudi au kwenda town muda wa asubuhi na jioni...
Sasa hivi imekuwa 2x2 for public cars, 1x1 for the upcoming Morocco <> Tegeta BRT, and extra walkway kwa waenda kwa miguu...
Hivyo kuna hizo extras ambazo hazikuwepo...
Kupata njia pana zaidi ya ilivyo sasa ina maana watu walio kando ya barabara wangebomolewa majengo yao zaidi ya walivyobomolewa
Njia tano za awali zilikuwa na hayo yote uliyotaja, kuanzia umeme, taa za barabarani, njia za maji na kadhalika, tena lami ilikuwa mpya na ilikengwa kwa pesa zilizookolewa kutoka sherehe za uhuru. Leo yametumika hapo matrillion na bado njia zimepungua toka 5 hadi 4 na hivyo kupunguza flow ya magari mida ya rush hour asubuhi na jioni, kama lengo lilikuwa ni BRT, ni kwanini wasingesubiri hiyo miaka 5 - 10 ijayo ambayo ndio ujenzi unaweza ukaanza wakati huo huo tukiendelea kufaidi flow ya njia 5, ukizingatia hii barabara itabidi ifumuliwe tena baadhi ya vioande wakati wa kungamisha mifumo ya Vituo, taa na zebra za BRT ijayo? Utaahira wa wapi huu?!Barabara imejengwa kwa viwango vya Kimataifa, lami safi kabisa, pedestrians walks, na service roads on the other sides, mfumo kabambe ardhini wa maji taka na mvua, internet na umeme bila kulazimika uchimbaji tena kama tulivyozoea huko nyuma. Reserve imeachwa katikati kukidhi kabisa ujenzi wa BRT na vituo vyake bila kubomoa barabara za pembeni [rejea design ya mradi toka kwa financier (JICA)] lakini wanakuja hapa vijana wajuaji na kelele nyingiiii bila kujielimisha au kutafuta taarifa sahihi sababu tu wana smart phones na kujua kuandika na kuanza kutukumbusha zile njia za gombania goli bila mifumo ya maji, wala taa za barabarani. Ujuaji wa vitu ambavyo hata hawajui, hii nchi ina ujinga mwingi sana.
Wengi wa hawa wanaopiga kelele humu jukwaani ni wale nyumbu wanaoamini eti Mbowe atawaletea katiba mpya. LABDA KATIBA YA CHADEMA. π π πBarabara imejengwa kwa viwango vya Kimataifa, lami safi kabisa, pedestrians walks, na service roads on the other sides, mfumo kabambe ardhini wa maji taka na mvua, internet na umeme bila kulazimika uchimbaji tena kama tulivyozoea huko nyuma. Reserve imeachwa katikati kukidhi kabisa ujenzi wa BRT na vituo vyake bila kubomoa barabara za pembeni [rejea design ya mradi toka kwa financier (JICA)] lakini wanakuja hapa vijana wajuaji na kelele nyingiiii bila kujielimisha au kutafuta taarifa sahihi sababu tu wana smart phones na kujua kuandika na kuanza kutukumbusha zile njia za gombania goli bila mifumo ya maji, wala taa za barabarani. Ujuaji wa vitu ambavyo hata hawajui, hii nchi ina ujinga mwingi sana.
Lete ushahidi (evidence) unaoonyesha kwamba ujenzi wa BRT kwenye hiyo barabra utaanza baada ya miaka mitano hadi kumi ijayo. Pili lete evidence inayoonyesha kwamba gharama za hiyo barabara ni matrilion ya TZS. Mkuu Mkwanzania nakubaliana na wewe kabisa kwamba nchi hii imejaa watu wasiopenda kujielimisha kuhusu jambo husika halafu ndio watoe michango yao wanademka tu. Hebu tuacheni kulalamika bila sababu za msingi.Njia tano za awali zilikuwa na hayo yote uliyotaja, kuanzia umeme, taa za barabarani, njia za maji na kadhalika, tena lami ilikuwa mpya na ilikengwa kwa pesa zilizookolewa kutoka sherehe za uhuru. Leo yametumika hapo matrillion na bado njia zimepungua toka 5 hadi 4 na hivyo kupunguza flow ya magari mida ya rush hour asubuhi na jioni, kama lengo lilikuwa ni BRT, ni kwanini wasingesubiri hiyo miaka 5 - 10 ijayo ambayo ndio ujenzi unaweza ukaanza wakati huo huo tukiendelea kufaidi flow ya njia 5, ukizingatia hii barabara itabidi ifumuliwe tena baadhi ya vioande wakati wa kungamisha mifumo ya Vituo, taa na zebra za BRT ijayo? Utaahira wa wapi huu?!
Uko sawa mkuu.Barabara imejengwa kwa viwango vya Kimataifa, lami safi kabisa, pedestrians walks, na service roads on the other sides, mfumo kabambe ardhini wa maji taka na mvua, internet na umeme bila kulazimika uchimbaji tena kama tulivyozoea huko nyuma. Reserve imeachwa katikati kukidhi kabisa ujenzi wa BRT na vituo vyake bila kubomoa barabara za pembeni [rejea design ya mradi toka kwa financier (JICA)] lakini wanakuja hapa vijana wajuaji na kelele nyingiiii bila kujielimisha au kutafuta taarifa sahihi sababu tu wana smart phones na kujua kuandika na kuanza kutukumbusha zile njia za gombania goli bila mifumo ya maji, wala taa za barabarani. Ujuaji wa vitu ambavyo hata hawajui, hii nchi ina ujinga mwingi sana.
Unachosema kina matiki ingawaje mengine siyo kweli.Njia tano za awali zilikuwa na hayo yote uliyotaja, kuanzia umeme, taa za barabarani, njia za maji na kadhalika, tena lami ilikuwa mpya na ilikengwa kwa pesa zilizookolewa kutoka sherehe za uhuru. Leo yametumika hapo matrillion na bado njia zimepungua toka 5 hadi 4 na hivyo kupunguza flow ya magari mida ya rush hour asubuhi na jioni, kama lengo lilikuwa ni BRT, ni kwanini wasingesubiri hiyo miaka 5 - 10 ijayo ambayo ndio ujenzi unaweza ukaanza wakati huo huo tukiendelea kufaidi flow ya njia 5, ukizingatia hii barabara itabidi ifumuliwe tena baadhi ya vioande wakati wa kungamisha mifumo ya Vituo, taa na zebra za BRT ijayo? Utaahira wa wapi huu?!
Yaani kilichofanyika sasa kisubiri brt?? Huoni ni upotevu wa muda , pesa, brt inaweza kutumia barabara za pembeni kama route ya mbezi ya Morogoro rd na kutumia hizo stand za ma bus, hilo gems la Kati Kati zikatumia gari za watu binafsi etcSasa huo si utaahira? Angalia mwendokasi zote jinsi zinavyojengwa, ile njia ya mwendokasi inakengwa sambamba na barabara za pembeni ili kuzihuisha na miundombinu za vituo, maji ya mvua, zebra crossing nk; hivyo lazima hii itakuja kufukuliwa hata kama si yote; ona BRT ya sasa toka Magomeni hadi karume, lazima barabara ya pembeni ifumukiwe kuendana na BRT lanes.
Halafu kwanini upunguze efficiency ya barabara toka njia 5 hadi 4 kwa excuse ya BRT? Kwanini usisubiri hadi ujenzi wa BRT uanze ili ifanyike moja kwa moja? Hebu niambie, ule ujenzi umeachieve nini ambacho hakikuwepo mwanzo zaidi ya kupunguza achievement iliyofsnywa nyuma toka njia 5 hadi 4? Goal ya mradi ilikuwa kuleta foleni au?
Kwanini usijibu hoja zao?Wengi wa hawa wanaopiga kelele humu jukwaani ni wale nyumbu wanaoamini eti Mbowe atawaletea katiba mpya. LABDA KATIBA YA CHADEMA. π π π
Ushahidi upo wazi, hizi barabara zinajengwa kwa phases, phase moja huchukua miaka hadi minne 4 kukamilika, na phase ya Magomeni kupitia karume ndio kwanza imeanza, sasa hadi ikamilike na mchakato wa phase mpya kuanza obviously ni miaka mi5 au zaidi. βmatrillionβ ni figure of speeech ikimaanisha ni βpesa nyingiβ, hayo mengine umeharisha tu.Lete ushahidi (evidence) unaoonyesha kwamba ujenzi wa BRT kwenye hiyo barabra utaanza baada ya miaka mitano hadi kumi ijayo. Pili lete evidence inayoonyesha kwamba gharama za hiyo barabara ni matrilion ya TZS. Mkuu Mkwanzania nakubaliana na wewe kabisa kwamba nchi hii imejaa watu wasiopenda kujielimisha kuhusu jambo husika halafu ndio watoe michango yao wanademka tu. Hebu tuacheni kulalamika bila sababu za msingi.
Mtu anaekupa msaada wa kuvunja nyumba yako ya vyumba vi5 ili ujenge nyumba ya vyumba vi4, huo ni msaada au utaahira?Unachosema kina matiki ingawaje mengine siyo kweli.
Ile njia ya 5 lanes haikuwa na taa za barabarani.
Miundombinu ya maji ya mvua kubwa ilikuwa kero kubwa sana hasa Mwenge, eneo la Usalam Kijitonyama na hata maeneo ya Vicoria.
Lakini kumbuka brabara inajengwa kwa hel ya mfadhili ,JICA, sio hela ya TOZO!
Na hata BRT ikija pengine itakuwa World Bank fund.
Hivyo ukiwa masikini huwezi kuamua eti leteni hela zenu kwa pamoja ili nijenge kwa raha mustarehe.
Kwani kilichokuwepo awali njia 5, na hiki kilichopo sasa njia 4, kipi kilikuwa kinafaida zaidi?Yaani kilichofanyika sasa kisubiri brt?? Huoni ni upotevu wa muda , pesa, brt inaweza kutumia barabara za pembeni kama route ya mbezi ya Morogoro rd na kutumia hizo stand za ma bus, hilo gems la Kati Kati zikatumia gari za watu binafsi etc
We jamaa acha kung'ang'ania ujinga--mara njia 5, sijui vyumba vitano, mara matrilioni. Hivi huoni aibu? Mwendokasi yenyewe mpaka sasa haijatumia hata nusu trilioni. Kwanza ujue kwamba hakukuwahi kuwa na njia 5; ule ujenzi ukifanyika kwa dharura (tena kwa kutafuta political popularity) ndiyo maana walofanya walikuwa Wajapani ambao serikali ilikuwa nao kwenye mazungumzo kuhusu kusaidiwa kuijenga kabisa.Kwani kilichokuwepo awali njia 5, na hiki kilichopo sasa njia 4, kipi kilikuwa kinafaida zaidi?
Nauliza tu, njia 5 za awali, na hizi 4 za sasa, zipi zilikuwa na faidi zaidi?We jamaa acha kung'ang'ania ujinga--mara njia 5, sijui vyumba vitano, mara matrilioni. Hivi huoni aibu? Mwendokasi yenyewe mpaka sasa haijatumia hata nusu trilioni. Kwanza ujue kwamba hakukuwahi kuwa na njia 5; ule ujenzi ukifanyika kwa dharura (tena kwa kutafuta political popularity) ndiyo maana walofanya walikuwa Wajapani ambao serikali ilikuwa nao kwenye mazungumzo kuhusu kusaidiwa kuijenga kabisa.
Ni upunguani wa wabongo tu walikuwa wanalazimishia njia na kusababisha foleni za kipuuzi. Wakati mwingine walifanya rush-hour ways ziwe mpaka 4. Kwa hiyo, kabla ya kuendelea na ujinga wako wa ku-challenge vitu usivyovijua, nenda kwenye nyaraka za mradi uone mpango uliopo kuhusu BRT.
Kwa hivyo hiyo unayoiita "njia ya 5" haina tofauti na bustani za njia nyingine kama ya Ali Hassan Mwinyi (maana kuijenga ingekuwa gharama zaidi); na matumizi yake yalikuwa sanasana ya dharura kama fire au ambulance. Wajapani waliiacha kwa kuwa walijua wangekuja kufanya huu ujenzi wa sasa na hivyo kusaidia kupunguza msongamano wakati wa mradi.
Pia, ujenzi huu ulikuwa na changamoto tofauti na njia nyingine maana kuna njia za gesi, mkonga wa taifa wa mawasiliano, na miundobinu mingi tu ya ardhini iliyopaswa kuhamishwa kwa umakini. Ndiyo maana walitumia muda mwingi sana ku-set pembeni.