Barabara ya Morocco - Mwenge imetanuliwa ila njia zimepungua toka 5 hadi 4

Vijana muache uzushi na negativity Kwa taifa lenu

pale kuna middle lane ambayo haijafunguliwa

most likely itakua ya DART

sijui kwanini watu tunapenda kuropokwa
Mimi siyo kijana kwanza naweza kukuzaa huku napanda dalada za mbagala.Pia nimejibu swali la uzi ulioulizwa km ulijua hiyo road no#5 wewe pia ungepaswa kutuelimisha siyo unani quote wkt miye nachangia hbr za mleta mada.
 
Barabara imejengwa kwa viwango vya Kimataifa, lami safi kabisa, pedestrians walks, na service roads on the other sides, mfumo kabambe ardhini wa maji taka na mvua, internet na umeme bila kulazimika uchimbaji tena kama tulivyozoea huko nyuma. Reserve imeachwa katikati kukidhi kabisa ujenzi wa BRT na vituo vyake bila kubomoa barabara za pembeni [rejea design ya mradi toka kwa financier (JICA)] lakini wanakuja hapa vijana wajuaji na kelele nyingiiii bila kujielimisha au kutafuta taarifa sahihi sababu tu wana smart phones na kujua kuandika na kuanza kutukumbusha zile njia za gombania goli bila mifumo ya maji, wala taa za barabarani. Ujuaji wa vitu ambavyo hata hawajui, hii nchi ina ujinga mwingi sana.
 
Hilo eneo kwa dsm hii ndio limepata bahati ya kuwa la mfano,yaani njia za waenda kwa miguu zimewekwa kwa viwango vyote.unatembea hata huna wasi wasi.
 
Kwani lanes zimepungua?

Hapo kabla zilikuwa ni 2x2, with an extra 5th lane in between kama one way, ikifanya kazi ya ama kurudi au kwenda town muda wa asubuhi na jioni...

Sasa hivi imekuwa 2x2 for public cars, 1x1 for the upcoming Morocco <> Tegeta BRT, and extra walkway kwa waenda kwa miguu...

Hivyo kuna hizo extras ambazo hazikuwepo...

Kupata njia pana zaidi ya ilivyo sasa ina maana watu walio kando ya barabara wangebomolewa majengo yao zaidi ya walivyobomolewa
Lanes zinazotumika kwa sasa ni ngapi?
Lanes zilizokua zikitumika kabla ni ngapi?
 
Barabara imejengwa kwa viwango vya Kimataifa, lami safi kabisa, pedestrians walks, na service roads on the other sides, mfumo kabambe ardhini wa maji taka na mvua, internet na umeme bila kulazimika uchimbaji tena kama tulivyozoea huko nyuma. Reserve imeachwa katikati kukidhi kabisa ujenzi wa BRT na vituo vyake bila kubomoa barabara za pembeni [rejea design ya mradi toka kwa financier (JICA)] lakini wanakuja hapa vijana wajuaji na kelele nyingiiii bila kujielimisha au kutafuta taarifa sahihi sababu tu wana smart phones na kujua kuandika na kuanza kutukumbusha zile njia za gombania goli bila mifumo ya maji, wala taa za barabarani. Ujuaji wa vitu ambavyo hata hawajui, hii nchi ina ujinga mwingi sana.
Njia tano za awali zilikuwa na hayo yote uliyotaja, kuanzia umeme, taa za barabarani, njia za maji na kadhalika, tena lami ilikuwa mpya na ilikengwa kwa pesa zilizookolewa kutoka sherehe za uhuru. Leo yametumika hapo matrillion na bado njia zimepungua toka 5 hadi 4 na hivyo kupunguza flow ya magari mida ya rush hour asubuhi na jioni, kama lengo lilikuwa ni BRT, ni kwanini wasingesubiri hiyo miaka 5 - 10 ijayo ambayo ndio ujenzi unaweza ukaanza wakati huo huo tukiendelea kufaidi flow ya njia 5, ukizingatia hii barabara itabidi ifumuliwe tena baadhi ya vioande wakati wa kungamisha mifumo ya Vituo, taa na zebra za BRT ijayo? Utaahira wa wapi huu?!
 
Wengi wa hawa wanaopiga kelele humu jukwaani ni wale nyumbu wanaoamini eti Mbowe atawaletea katiba mpya. LABDA KATIBA YA CHADEMA. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Lete ushahidi (evidence) unaoonyesha kwamba ujenzi wa BRT kwenye hiyo barabra utaanza baada ya miaka mitano hadi kumi ijayo. Pili lete evidence inayoonyesha kwamba gharama za hiyo barabara ni matrilion ya TZS. Mkuu Mkwanzania nakubaliana na wewe kabisa kwamba nchi hii imejaa watu wasiopenda kujielimisha kuhusu jambo husika halafu ndio watoe michango yao wanademka tu. Hebu tuacheni kulalamika bila sababu za msingi.
 
Uko sawa mkuu.
Barabra ina viwango vya kimataifa , ila watumiaji ni wabongo.
Sasa hivi takataka zinatupwa mitaroni serikali kimya tu.
Daladala zinagonga zile kerbsone kila siku iendayo kwa Mola.
Taa za kuongoza magari nazo sijui kama zitakuwepo baada ya mwaka mmoja.
 
Njia tano za awali zilikuwa na hayo yote uliyotaja, kuanzia umeme, taa za barabarani, njia za maji na kadhalika, tena lami ilikuwa mpya na ilikengwa kwa pesa zilizookolewa kutoka sherehe za uhuru. Leo yametumika hapo matrillion na bado njia zimepungua toka 5 hadi 4 na hivyo kupunguza flow ya magari mida ya rush hour asubuhi na jioni, kama lengo lilikuwa ni BRT, ni kwanini wasingesubiri hiyo miaka 5 - 10 ijayo ambayo ndio ujenzi unaweza ukaanza wakati huo huo tukiendelea kufaidi flow ya njia 5, ukizingatia hii barabara itabidi ifumuliwe tena baadhi ya vioande wakati wa kungamisha mifumo ya Vituo, taa na zebra za BRT ijayo? Utaahira wa wapi huu?!
Unachosema kina matiki ingawaje mengine siyo kweli.
Ile njia ya 5 lanes haikuwa na taa za barabarani.
Miundombinu ya maji ya mvua kubwa ilikuwa kero kubwa sana hasa Mwenge, eneo la Usalam Kijitonyama na hata maeneo ya Vicoria.
Lakini kumbuka brabara inajengwa kwa hel ya mfadhili ,JICA, sio hela ya TOZO!
Na hata BRT ikija pengine itakuwa World Bank fund.
Hivyo ukiwa masikini huwezi kuamua eti leteni hela zenu kwa pamoja ili nijenge kwa raha mustarehe.
 
Sasa huo si utaahira? Angalia mwendokasi zote jinsi zinavyojengwa, ile njia ya mwendokasi inakengwa sambamba na barabara za pembeni ili kuzihuisha na miundombinu za vituo, maji ya mvua, zebra crossing nk; hivyo lazima hii itakuja kufukuliwa hata kama si yote; ona BRT ya sasa toka Magomeni hadi karume, lazima barabara ya pembeni ifumukiwe kuendana na BRT lanes.

Halafu kwanini upunguze efficiency ya barabara toka njia 5 hadi 4 kwa excuse ya BRT? Kwanini usisubiri hadi ujenzi wa BRT uanze ili ifanyike moja kwa moja? Hebu niambie, ule ujenzi umeachieve nini ambacho hakikuwepo mwanzo zaidi ya kupunguza achievement iliyofsnywa nyuma toka njia 5 hadi 4? Goal ya mradi ilikuwa kuleta foleni au?
Yaani kilichofanyika sasa kisubiri brt?? Huoni ni upotevu wa muda , pesa, brt inaweza kutumia barabara za pembeni kama route ya mbezi ya Morogoro rd na kutumia hizo stand za ma bus, hilo gems la Kati Kati zikatumia gari za watu binafsi etc
 
Wengi wa hawa wanaopiga kelele humu jukwaani ni wale nyumbu wanaoamini eti Mbowe atawaletea katiba mpya. LABDA KATIBA YA CHADEMA. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Kwanini usijibu hoja zao?
 
Lete ushahidi (evidence) unaoonyesha kwamba ujenzi wa BRT kwenye hiyo barabra utaanza baada ya miaka mitano hadi kumi ijayo. Pili lete evidence inayoonyesha kwamba gharama za hiyo barabara ni matrilion ya TZS. Mkuu Mkwanzania nakubaliana na wewe kabisa kwamba nchi hii imejaa watu wasiopenda kujielimisha kuhusu jambo husika halafu ndio watoe michango yao wanademka tu. Hebu tuacheni kulalamika bila sababu za msingi.
Ushahidi upo wazi, hizi barabara zinajengwa kwa phases, phase moja huchukua miaka hadi minne 4 kukamilika, na phase ya Magomeni kupitia karume ndio kwanza imeanza, sasa hadi ikamilike na mchakato wa phase mpya kuanza obviously ni miaka mi5 au zaidi. β€˜matrillion’ ni figure of speeech ikimaanisha ni β€˜pesa nyingi’, hayo mengine umeharisha tu.
 
Unachosema kina matiki ingawaje mengine siyo kweli.
Ile njia ya 5 lanes haikuwa na taa za barabarani.
Miundombinu ya maji ya mvua kubwa ilikuwa kero kubwa sana hasa Mwenge, eneo la Usalam Kijitonyama na hata maeneo ya Vicoria.
Lakini kumbuka brabara inajengwa kwa hel ya mfadhili ,JICA, sio hela ya TOZO!
Na hata BRT ikija pengine itakuwa World Bank fund.
Hivyo ukiwa masikini huwezi kuamua eti leteni hela zenu kwa pamoja ili nijenge kwa raha mustarehe.
Mtu anaekupa msaada wa kuvunja nyumba yako ya vyumba vi5 ili ujenge nyumba ya vyumba vi4, huo ni msaada au utaahira?
 
Yaani kilichofanyika sasa kisubiri brt?? Huoni ni upotevu wa muda , pesa, brt inaweza kutumia barabara za pembeni kama route ya mbezi ya Morogoro rd na kutumia hizo stand za ma bus, hilo gems la Kati Kati zikatumia gari za watu binafsi etc
Kwani kilichokuwepo awali njia 5, na hiki kilichopo sasa njia 4, kipi kilikuwa kinafaida zaidi?
 
We jamaa acha kung'ang'ania ujinga--mara njia 5, sijui vyumba vitano, mara matrilioni. Hivi huoni aibu? Mwendokasi yenyewe mpaka sasa haijatumia hata nusu trilioni. Kwanza ujue kwamba hakukuwahi kuwa na njia 5; ule ujenzi ukifanyika kwa dharura (tena kwa kutafuta political popularity) ndiyo maana walofanya walikuwa Wajapani ambao serikali ilikuwa nao kwenye mazungumzo kuhusu kusaidiwa kuijenga kabisa.

Ni upunguani wa wabongo tu walikuwa wanalazimishia njia na kusababisha foleni za kipuuzi. Wakati mwingine walifanya rush-hour ways ziwe mpaka 4. Kwa hiyo, kabla ya kuendelea na ujinga wako wa ku-challenge vitu usivyovijua, nenda kwenye nyaraka za mradi uone mpango uliopo kuhusu BRT.

Kwa hivyo hiyo unayoiita "njia ya 5" haina tofauti na bustani za njia nyingine kama ya Ali Hassan Mwinyi (maana kuijenga ingekuwa gharama zaidi); na matumizi yake yalikuwa sanasana ya dharura kama fire au ambulance. Wajapani waliiacha kwa kuwa walijua wangekuja kufanya huu ujenzi wa sasa na hivyo kusaidia kupunguza msongamano wakati wa mradi.

Pia, ujenzi huu ulikuwa na changamoto tofauti na njia nyingine maana kuna njia za gesi, mkonga wa taifa wa mawasiliano, na miundobinu mingi tu ya ardhini iliyopaswa kuhamishwa kwa umakini. Ndiyo maana walitumia muda mwingi sana ku-set pembeni.
 
Nauliza tu, njia 5 za awali, na hizi 4 za sasa, zipi zilikuwa na faidi zaidi?
 
Back
Top Bottom