FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Uwe unafuatilia mambo na sio kukurupuka, huoni hapo katikati kuna nafasi ya nini? Au unadhani BRT phase 5 watavunja tena wajenge?Baada ya pesa za sherehe za Muungano kutumika kuitanua barabara hiyo toka njia 3 hadi 5, **** ujenzi mwingime wa kimiujiza sana naona umetokea hapo.
Baada ya mabilioni ya kutosha kumwagwa hapo kuitanua barabara hiyo, sasa njia za magari zimepungua toka njia 5 hadi 4, muujiza gani huu?
Sasa huo si utaahira? Angalia mwendokasi zote jinsi zinavyojengwa, ile njia ya mwendokasi inakengwa sambamba na barabara za pembeni ili kuzihuisha na miundombinu za vituo, maji ya mvua, zebra crossing nk; hivyo lazima hii itakuja kufukuliwa hata kama si yote; ona BRT ya sasa toka Magomeni hadi karume, lazima barabara ya pembeni ifumukiwe kuendana na BRT lanes.Uwe unafuatilia mambo na sio kukurupuka, huoni hapo katikati kuna nafasi ya nini? Au unadhani BRT phase 5 watavunja tena wajenge?
Ndio maana nauliza, muujiza gani huu?Kwakweli pale wameshangaza sana wameweka zile kingo za pembeni (capstone), service road na taa. Wameacha nafasi kubwa katikati. Kama ni brt wangeijienga kabisa kuokoa gharama na usumbufu wa kurudia rudia.
2016 ikijengwa, 2019 mpaka sasa inajengwa tena, 202? Itajengwa tena??
HAHAHA!kuna jamaa mmoja alinambia mbona hizi barabara kila siku zinajengwaKwakweli pale wameshangaza sana wameweka zile kingo za pembeni (capstone), service road na taa. Wameacha nafasi kubwa katikati. Kama ni brt wangeijienga kabisa kuokoa gharama na usumbufu wa kurudia rudia.
2016 ikijengwa, 2019 mpaka sasa inajengwa tena, 202? Itajengwa tena?
Halafu wakimaliza tunakuwa tumerudi nyuma, barabara ilipanuliwa kwa pesa za sherehe za uhuru zikawa njia 5 toka njia 3, leo wamemwaga matrilioni hapo ili tu kupunguzaa kutoka njia 5 hadi njia 4, yani wanaturudisha nyuma tena kwa kutumia pesa nyingiHAHAHA!kuna jamaa mmoja alinambia mbona hizi barabara kila siku zinajengwa
Hawamalizi
Ova
Sasa huo si utaahira? Angalia mwendokasi zote jinsi zinavyojengwa, ile njia ya mwendokasi inakengwa sambamba na barabara za pembeni ili kuzihuisha na miundombinu za vituo, maji ya mvua, zebra crossing nk; hivyo lazima hii itakuja kufukuliwa hata kama si yote; ona BRT ya sasa toka Magomeni hadi karume, lazima barabara ya pembeni ifumukiwe kuendana na BRT lanes.
Halafu kwanini upunguze efficiency ya barabara toka njia 5 hadi 4 kwa excuse ya BRT? Kwanini usisubiri hadi ujenzi wa BRT uanze ili ifanyike moja kwa moja? Hebu niambie, ule ujenzi umeachieve nini ambacho hakikuwepo mwanzo zaidi ya kupunguza achievement iliyofsnywa nyuma toka njia 5 hadi 4? Goal ya mradi ilikuwa kuleta foleni au?
Ndio na mimi nikakuuliza, kulikuwa na haja gani ya kutumia matrillion ili kuounguza ufanisi wa barabara kutoka njia 5 hadi njia 4?! Yaani kabla ya ujenzi huu barabara ilikuwa na njia 5 na lami yake ilikuwa bado mpya tu maana ni juzi juzi tu pesa za uhuru zilitumika kutanua na kuweka lami mpya pembeni, ila baada ya kumwaga matrillion hapo na kuvunja barabara iliyotanuliwa kwa pesa za uhuru, sasa tumerudi nyuma tena, barabara imepungua ufanisi na kua ya njia 4, sasa goals za huu mradi zilikuwa ni zipi? Kupunguza flow ya magari nankuongeza foleni? Kama ni mwendokasi si huwa zinajengwa kwa pamoja ili kupunguza ususmbufu wa kufunga njia mra mbilimbili na kuvunja vipande vya lami ili kupisha miundombinu ya BRT kama drainage systems, zebra crossings, junctions nk?, mfano ni BRT inayojengwa toka Magomeni hadi Karume, ona ile timua timua, sasa mnataka baada ya hapo tena mtuletee tena ile timua timua wakati mngeweza kusubiri ili ifanyike kwa pamoja. Kulikuwa na uharaka gani wa kupunguza njia 5 ziwe 4? Zile njia 5 mliona tunafaidi sana au?!!Hiyo Barabara imegengwa kwa kuzingatia miundombinu ya BRT kama vile lane na vituo vyote, mjenzi wa BRT hatalazimika tena kubomoa barabara za pembeni kama huko kwingine. Tafuta humu designing yake na maelezo ya Financiers (JIKA) utaona. Acha kurukia mambo juu juu kama huna taarifa sahihi.
ndio ma engineer wetu hao mkuu wote ni vishokaNdio na mimi nikakuuliza, kulikuwa na haja gani ya kutumia matrillion ili kuounguza ufanisi wa barabara kutoka njia 5 hadi njia 4?! Yaani kabla ya ujenzi huu barabara ilikuwa na njia 5 na lami yake ilikuwa bado mpya tu maana ni juzi juzi tu pesa za uhuru zilitumika kutanua na kuweka lami mpya pembeni, ila baada ya kumwaga matrillion hapo na kuvunja barabara iliyotanuliwa kwa pesa za uhuru, sasa tumerudi nyuma tena, barabara imepungua ufanisi na kua ya njia 4, sasa goals za huu mradi zilikuwa ni zipi? Kupunguza flow ya magari nankuongeza foleni? Kama ni mwendokasi si huwa zinajengwa kwa pamoja ili kupunguza ususmbufu wa kufunga njia mra mbilimbili na kuvunja vipande vya lami ili kupisha miundombinu ya BRT kama drainage systems, zebra crossings, junctions nk?, mfano ni BRT inayojengwa toka Magomeni hadi Karume, ona ile timua timua, sasa mnataka baada ya hap tena mtuletee tena ile timua timua wakati mngeweza kusubiri iki ifanyike kwa pamoja. Kukikuwa na uharaka gani wa kuounguza njia 5 ziwe 4? Zile njia 5 mliona tunafaidi sana au?!!
Ela ya njia yaTano ngosha alilalanayo mbele ,mzee angefilisi nchi yule,Bora Mungu katuokoaMtanikumbuka, kifo cha shujaa no dhahili kila kona.
Mazuzu nyinyi,pale kati Kuna njia ya mwendokasiDawa wahusika waende jela tuu..
Njia 5 ilishajengwa kwa pesa za uhuru, sasa kikichofanyika pale ni muujiza tu, hakuna neno lingine la kudescribe, ni Tanzania tu ndio barabara inapanuliwa halafu njia za magari zinapungua idadiEla ya njia yaTano ngosha alilalanayo mbele ,mzee angefilisi nchi yule,Bora Mungu katuokoa
Ndio na mimi nakuuliza, kulikuwa na haja gani ya kutumia matrillion ili kuounguza ufanisi wa barabara kutoka njia 5 hadi njia 4?! Yaani kabla ya ujenzi huu barabara ilikuwa na njia 5 na lami yake ilikuwa bado mpya tu maana ni juzi juzi tu pesa za uhuru zilitumika kutanua na kuweka lami mpya pembeni, ila baada ya kumwaga matrillion hapo na kuvunja barabara iliyotanuliwa kwa pesa za uhuru, sasa tumerudi nyuma tena, barabara imepungua ufanisi na kua ya njia 4, sasa goals za huu mradi zilikuwa ni zipi? Kupunguza flow ya magari nankuongeza foleni? Kama ni mwendokasi si huwa zinajengwa kwa pamoja ili kupunguza ususmbufu wa kufunga njia mra mbilimbili na kuvunja vipande vya lami ili kupisha miundombinu ya BRT kama drainage systems, zebra crossings, junctions nk?, mfano ni BRT inayojengwa toka Magomeni hadi Karume, ona ile timua timua, sasa mnataka baada ya hapo tena mtuletee tena ile timua timua wakati mngeweza kusubiri ili ifanyike kwa pamoja. Kulikuwa na uharaka gani wa kupunguza njia 5 ziwe 4? Zile njia 5 mliona tunafaidi sana au?!!Mazuzu nyinyi,pale kati Kuna njia ya mwendokasi