KERO Barabara ya PPF KISEKE - Mwanza mbovu sana Mwaka wa pili haina matengenezo

KERO Barabara ya PPF KISEKE - Mwanza mbovu sana Mwaka wa pili haina matengenezo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Prince05

Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
18
Reaction score
29
Barabara hii inakwenda Mwaka wa tatu sasa haina matengenezo aina yoyote. Kuna makazi mengi ya watu, kuna shule nyingi sana maeneo hayo school bus zinapata shida sana, lakini hata sisi wakazi tunaingia gharama kubwa kufanya matengenezo ya magari yetu.
Mpaka leo hii hakuna matumaini ya kurekebishwa kwa barabara hii.
1000027113.jpg
1000027100.jpg
1000027127.jpg
1000027122.jpg
 

Attachments

  • PXL_20250125_071225707.RAW-01.MP.COVER.jpg
    PXL_20250125_071225707.RAW-01.MP.COVER.jpg
    453.4 KB · Views: 2
  • PXL_20250125_071225707.RAW-01.MP.COVER.jpg
    PXL_20250125_071225707.RAW-01.MP.COVER.jpg
    453.4 KB · Views: 3

Attachments

  • VID-20250124-WA0008.mp4
    6.9 MB
  • 5938169-3f8437b06df44d0a7c8b8e175f481762.mp4
    23 MB
  • VID-20250123-WA0008.mp4
    5.4 MB
NI MARUFUKU WATUMISHI KUJIHUSISHA NA SIASA ILA NI RUKSA KUWAFANYIA WANASIASA SIASA ZAO.
NB;Pombe msinywe ila ugimbi mnywesage.
 
Alafu Mhe.Diwani na Mbunge wakija kwenu kuomba kura watawaambia mambo yaliyofanyika kwenye utawala wao ni pamoja na ujenzi wa daraja la Busisi, Ndege zimeongezeka, bwawa la Umeme JNyerere.
Naomba muwaulize kama hayo kwa nafasi zao mliwatuma kuyafanya hayo? Majibu watakayo wapeni yatafakari kama yanakubalika basi muwaongezee mitano tena.
Ifike mahali kila Kiongozi apimwe kwa nafasi yake, tusikubali wengine kubebwa na miradi mikubwa ya Kitaifa wakati Mitaani na vijijini kwetu hali siyo nzuri.
 
Back
Top Bottom