KERO Barabara ya Tabata Kimanga irekebishwe

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hivi boss wa Halmashauri cheo chake wanamuitaje DEAD?
Yeah nadhani ni DED. Ngoja nicheki. Maana hii inchi vyeo ni vingi hata havieleweki nani ni yupi anafanya nini na kwasababu gani na kwa kujibu kwa nani.
 
Obay na masaki yenyewe barabara zina maandaki
Na huku kuna viongozi,mabalozi
Wa nje na watu fulani wanaishi
Huko kwengineko si ndiyo balaa

Ova
 
Hapo lawama ni Halimashauri maana wale takataka wanachojua ni kukusanya mapato tu ila sio kutunza na kurekebisha miundombinu muhimu kama barabara aisee.
Diwani na Mbunge ndio wawakilishi wetu wa ku push hao wa halmashauri kuwajibika.
 
Ni shida ya muda mrefu isiyo na ufumbuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…