Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Hapo lawama ni Halimashauri maana wale takataka wanachojua ni kukusanya mapato tu ila sio kutunza na kurekebisha miundombinu muhimu kama barabara aisee.Katika vitu nilikua nawaza ni hawa watu. Hivi diwani wa kata hii na mbunge wanaona hii adha kweli???