KERO Barabara ya Tabata Kimanga irekebishwe

KERO Barabara ya Tabata Kimanga irekebishwe

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hivi boss wa Halmashauri cheo chake wanamuitaje DEAD?
Yeah nadhani ni DED. Ngoja nicheki. Maana hii inchi vyeo ni vingi hata havieleweki nani ni yupi anafanya nini na kwasababu gani na kwa kujibu kwa nani.
 
Obay na masaki yenyewe barabara zina maandaki
Na huku kuna viongozi,mabalozi
Wa nje na watu fulani wanaishi
Huko kwengineko si ndiyo balaa

Ova
 
Hapo lawama ni Halimashauri maana wale takataka wanachojua ni kukusanya mapato tu ila sio kutunza na kurekebisha miundombinu muhimu kama barabara aisee.
Diwani na Mbunge ndio wawakilishi wetu wa ku push hao wa halmashauri kuwajibika.
 
Kipande cha kuanzia pale darajani ukishuka mteremko ule wa tabata madukani, halafu chama, halafu kule shiba sijui hadi kufika pale mawenzjli, dah aiseee ni majanga matupu mzee. Barabara ni mbovu mbovu mbovu kupita maelezo na sijui shida huwa ni nini kwenye kile kipande.
Ni shida ya muda mrefu isiyo na ufumbuzu
 
Back
Top Bottom