Barabara za Mji wa Serikali Dodoma zimeshafungwa taa za barabarani

Umefanya vizuri kuona mazuri ya chuma mwamba kabisa jemedari kamanda Jeshi jiwe immortal Magufuli.

Hapa sasa tupo pamoja, wewe ni tofauti sana na wale wajinga wengine wa ufipa. Wewe una akili sana na una elimu nzuri sana, una IQ kubwa sana

Salary slip ni member bora kabisa wa jamii forums kwa miaka ya karibuni. Keep it up
 
Dah hivi ni wewe kweli au?? Hongera angalau umeapprishietiii!!
 
Kasi ya ujenzi wa huo mji imepungua sana.Kuna magorofa zaidi ya 50 ambayo ni ofisi za mawizara,ajabu ni kwamba mengi yametelekezwa bila kuisha,yale yanayoendele kujengwa unakuta mafundi ni wachache sana,gorofa linajengwa na mafundi watano peke yake,.
Huu uongo unakusaidia nini?
 
Wamapotumia Kodi zetu vizuri kwanini tusiwapongeze?

Kwetu sisi Madereva wa safari ndefu imekosekana Dom Bypass itakayokuwa inatufanya tusiingi Mjini kati.
Mbona ipo? Kupitia kule Msalato mbele kwa mbele unatobia Chamwino. Ujenzi unaendelea.
 
Sina hakika kama itakuwa rahisi kusahaulika Kwa huyu mwamba JPM Kwa aliyofanya mazuri ktk nchi yake moja tu ya Tanzania ukiachili mbali baadhi ya viongozi wengine hujikuta wakiwekeza na kwenye nchi zingine tena kwa fedha za wizi, utadhani ndo wataenda kuishi huko
 
Una reasoning ndogo sana, hivi mkoloni hakujenga reli, bandari, na airport? Ila mbona tulitaka aondoke haraka??
JPM kujenga madaraja hakubadili ukweli kwamba hakua kiongozi mzuri na nikisema uongozi nadhani unaelewa ni tofauti na usimamizi.... Leadership is not management.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…