vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Chadema wengi wajinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wewe na familia yako ndio viongozi wazuri? Kwa taarifa yako unapoteza muda wako tu bure kwani Watz waliowengi wanamheshimu sana Hayati Magufuli na wanakumbuka sana mazuri aliyowatendea, lakini wewe na mafisadi wenzio hamuwezi kumpenda Hayati kwa kuwa aliwathibiti ipasavyo.Una reasoning ndogo sana, hivi mkoloni hakujenga reli, bandari, na airport? Ila mbona tulitaka aondoke haraka??
JPM kujenga madaraja hakubadili ukweli kwamba hakua kiongozi mzuri na nikisema uongozi nadhani unaelewa ni tofauti na usimamizi.... Leadership is not management.
umeshauza accoun kwa🐸🐸🐸🕷🕷🕷Hata Hitler anakumbukwa kwa mazuri yake.
Erythrocyte ukuje huku kuna kituko hiki sijakielewa😎🐸🐸Huu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa yatapokamilika na mazingira kuboreshwa(kupanda miti, n.k)
Leo nimepita katika huu mji na kukuta teyari taa za barabarani zimefungwa na teyari zinafanya kazi. Hakika kunavutia japo magari bado ni machache.
Ukiacha kukosa utu na makandokando mengine, mji juu ni urithi mzuri aliotuachia Mwendazake na tumshukuru Mama kwa kuendeleza.
Mji huu nimeupenda sana na ninapanga kununua kiwanja na kujenga maeneo ya jirani na huu mji.
Hongera kwa wote waliohusika katika ku- design huu mji ambao ukikakamilka kama ulivyopangwa, basi eneo hili litakuwa kivutia kizuri kwa watanzania na wageni.
A very nice city!
Dah yaani hata huwezi amini. Ngoja tuwasubiri Erythrocyte na Chakaza wake waseme nenoMakubwa haya! Leo umesifia juhudi za serikali........
Atakumbukwa kwa asilimia 10 tu. Zilizobaki alaaniwe kwa kututrlekeza vijana bila kazi za kufanya na kutaka wote tuwe machinga. Yule alitamani Kila anayemaliza chuo awe machinga tuAlisema mtamkumbuka naona akili zimeanza kuwarudia vichwani mwenu sasa..!!
Kwani ulitaka ufanyekazi gani?? Unawaza kuajiriwa tu, achana na fikira za kitumwa kijana!!Atakumbukwa kwa asilimia 10 tu. Zilizobaki alaaniwe kwa kututrlekeza vijana bila kazi za kufanya na kutaka wote tuwe machinga. Yule alitamani Kila anayemaliza chuo awe machinga tu
Wakijenga ukumbi wa bunge wambie waachane na design ya majengo kama lile liukumbi la bunge la sasa ambalo kwa ndani ni zuri ila nje halina mvuto.Ikulu haipo, ila kwenye plan, kulikuwa na eneo kwa ajili ya ujenzi Bunge ingawa kwa sasa sijui kama hiyo plan bado iko hivyo.
Kwahiyo Raisi Magufuli alitumia kodi zetu vizuri, maana ndiyo mwanzilishi wa huu mradi ???Wamapotumia Kodi zetu vizuri kwanini tusiwapongeze?
Kwetu sisi Madereva wa safari ndefu imekosekana Dom Bypass itakayokuwa inatufanya tusiingie Mjini kati ni kero sana
Pesa imetoka dodoma? Dodoma kuna uchumi gani? Kwannza kila siku mama yuko dar JMP alikurupuka tu D odoma hana hadhi kuwa mji mkuu time will tell mind my wordsHuu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa yatapokamilika na mazingira kuboreshwa(kupanda miti, n.k)
Leo nimepita katika huu mji na kukuta teyari taa za barabarani zimefungwa na teyari zinafanya kazi. Hakika kunavutia japo magari bado ni machache.
Ukiacha kukosa utu na makandokando mengine, mji juu ni urithi mzuri aliotuachia Mwendazake na tumshukuru Mama kwa kuendeleza.
Mji huu nimeupenda sana na ninapanga kununua kiwanja na kujenga maeneo ya jirani na huu mji.
Hongera kwa wote waliohusika katika ku- design huu mji ambao ukikakamilka kama ulivyopangwa, basi eneo hili litakuwa kivutia kizuri kwa watanzania na wageni.
A very nice city!
Sawa ila mwambieni mama Sasa atulie hapo chamwino, safari za Dar hazina tija KWa taifa na afya yake pia, dar ni makelele mwendo mmoja ,utulivu hakuna ,anashindwa nini kutulia hapo Dodoma?Huu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa yatapokamilika na mazingira kuboreshwa(kupanda miti, n.k)
Leo nimepita katika huu mji na kukuta teyari taa za barabarani zimefungwa na teyari zinafanya kazi. Hakika kunavutia japo magari bado ni machache.
Ukiacha kukosa utu na makandokando mengine, mji juu ni urithi mzuri aliotuachia Mwendazake na tumshukuru Mama kwa kuendeleza.
Mji huu nimeupenda sana na ninapanga kununua kiwanja na kujenga maeneo ya jirani na huu mji.
Hongera kwa wote waliohusika katika ku- design huu mji ambao ukikakamilka kama ulivyopangwa, basi eneo hili litakuwa kivutia kizuri kwa watanzania na wageni.
A very nice city!
Kwenye baadhi ya miradi yes.Kwahiyo Raisi Magufuli alitumia kodi zetu vizuri, maana ndiyo mwanzilishi wa huu mradi ???
Kwa hiyo Ikulu imetengwa na huo mjini? Ipo Chamwino sehemu ganiIkulu haipo, ila kwenye plan, kulikuwa na eneo kwa ajili ya ujenzi Bunge ingawa kwa sasa sijui kama hiyo plan bado iko hivyo.
Pamoja na mazuri yote haya unayoyasema, sijui kwa nini Muumba wake alimharakisha kumuitaUmefanya vizuri kuona mazuri ya chuma mwamba kabisa jemedari kamanda Jeshi jiwe immortal Magufuli.
Hapa sasa tupo pamoja, wewe ni tofauti sana na wale wajinga wengine wa ufipa. Wewe una akili sana na una elimu nzuri sana, una IQ kubwa sana
Salary slip ni member bora kabisa wa jamii forums kwa miaka ya karibuni. Keep it up
Mji gani wa Tz haufanani na dampo la taka? 😀Ukiwa uko mlimani kule udom ukiangalia chini unaona mji mzima kama dampo la taka.
Mkuu hapo kwenye time will tell mind my words ulikua unamaanisha nn?Pesa imetoka dodoma? Dodoma kuna uchumi gani? Kwannza kila siku mama yuko dar JMP alikurupuka tu D odoma hana hadhi kuwa mji mkuu time will tell mind my words
Siamini ninachokisoma. Wewe kabisa unaona kitu kizuri toka kwa Mwendazake? Ama kweli kua uyaone!mji juu ni urithi mzuri aliotuachia Mwendazake na tumshukuru Mama kwa kuendeleza.
Wakati jiji la DOM likijikongoja kwa sifa za kuokoteza, jiji la DSM litabaki kuwa ni jiji maarufu kuliko yote TZ.Huu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa yatapokamilika na mazingira kuboreshwa(kupanda miti, n.k)
Leo nimepita katika huu mji na kukuta teyari taa za barabarani zimefungwa na teyari zinafanya kazi. Hakika kunavutia japo magari bado ni machache.
Ukiacha kukosa utu na makandokando mengine, mji juu ni urithi mzuri aliotuachia Mwendazake na tumshukuru Mama kwa kuendeleza.
Mji huu nimeupenda sana na ninapanga kununua kiwanja na kujenga maeneo ya jirani na huu mji.
Hongera kwa wote waliohusika katika ku- design huu mji ambao ukikakamilka kama ulivyopangwa, basi eneo hili litakuwa kivutia kizuri kwa watanzania na wageni.
A very nice city!
Arusha na Dar es salaamMji gani wa Tz haufanani na dampo la taka? 😀