Barabara za Mji wa Serikali Dodoma zimeshafungwa taa za barabarani

Ila wewe na familia yako ndio viongozi wazuri? Kwa taarifa yako unapoteza muda wako tu bure kwani Watz waliowengi wanamheshimu sana Hayati Magufuli na wanakumbuka sana mazuri aliyowatendea, lakini wewe na mafisadi wenzio hamuwezi kumpenda Hayati kwa kuwa aliwathibiti ipasavyo.
 
Erythrocyte ukuje huku kuna kituko hiki sijakielewa😎🐸🐸
 
Atakumbukwa kwa asilimia 10 tu. Zilizobaki alaaniwe kwa kututrlekeza vijana bila kazi za kufanya na kutaka wote tuwe machinga. Yule alitamani Kila anayemaliza chuo awe machinga tu
Kwani ulitaka ufanyekazi gani?? Unawaza kuajiriwa tu, achana na fikira za kitumwa kijana!!
 
Ikulu haipo, ila kwenye plan, kulikuwa na eneo kwa ajili ya ujenzi Bunge ingawa kwa sasa sijui kama hiyo plan bado iko hivyo.
Wakijenga ukumbi wa bunge wambie waachane na design ya majengo kama lile liukumbi la bunge la sasa ambalo kwa ndani ni zuri ila nje halina mvuto.

Nashauri wajikite kwenye neoroman architectural design zunapendeza kwa majengo ya bunge na serikali. Au hata waige ile ya ukumbi mpya wa bunge Zimbabwe
 
Wamapotumia Kodi zetu vizuri kwanini tusiwapongeze?

Kwetu sisi Madereva wa safari ndefu imekosekana Dom Bypass itakayokuwa inatufanya tusiingie Mjini kati ni kero sana
Kwahiyo Raisi Magufuli alitumia kodi zetu vizuri, maana ndiyo mwanzilishi wa huu mradi ???
 
Pesa imetoka dodoma? Dodoma kuna uchumi gani? Kwannza kila siku mama yuko dar JMP alikurupuka tu D odoma hana hadhi kuwa mji mkuu time will tell mind my words
 
Sawa ila mwambieni mama Sasa atulie hapo chamwino, safari za Dar hazina tija KWa taifa na afya yake pia, dar ni makelele mwendo mmoja ,utulivu hakuna ,anashindwa nini kutulia hapo Dodoma?
 
Pamoja na mazuri yote haya unayoyasema, sijui kwa nini Muumba wake alimharakisha kumuita
 
Pesa imetoka dodoma? Dodoma kuna uchumi gani? Kwannza kila siku mama yuko dar JMP alikurupuka tu D odoma hana hadhi kuwa mji mkuu time will tell mind my words
Mkuu hapo kwenye time will tell mind my words ulikua unamaanisha nn?
 
Wakati jiji la DOM likijikongoja kwa sifa za kuokoteza, jiji la DSM litabaki kuwa ni jiji maarufu kuliko yote TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…