Alikuwa mkweli katika hilo la kumkumbuka. Yapo kadhaa ya kumkumbuka;Alisema mtamkumbuka naona akili zimeanza kuwarudia vichwani mwenu sasa..!!
Hayo ni ya kwako unayomkumbuka nayo!Alikuwa mkweli katika hilo la kumkumbuka. Yapo kadhaa ya kumkumbuka;
- Ujenzi wa stand za mabasi,
- Mji wa serikali Dodoma,
- Kukopa huku akidanganya kuwa ni pesa za ndani,
- Kukatiza maisha ya wapinzani wake,
- Kupanga kuondoa maisha ya mbunge akashindwa akaishia kumpa ulemavu na mateso makali,
- Ukabila na ukanda.
Na kadhalika!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mbona hasira au na wewe umejabana maeneo hayoHamia kwa mabwana zako huko. Kwani unalazimishwa kuja TZ?
Ni rais wa nchi mkuu, majukumu yake ni makubwa kuliko mimi na wewe.Sawa ila mwambieni mama Sasa atulie hapo chamwino, safari za Dar hazina tija KWa taifa na afya yake pia, dar ni makelele mwendo mmoja ,utulivu hakuna ,anashindwa nini kutulia hapo Dodoma?
Mkuu tafuta picha za Dubai ya 1966 halafu linganisha na zile za Dubai ya 2022 tofauti ni kubwa. Mwalimu Nyerere aliyependekeza makao makuu yawe Dodoma alitazama mbali sana.Arusha na Dar es salaam
lioHuu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa yatapokamilika na mazingira kuboreshwa(kupanda miti, n.k)
Leo nimepita katika huu mji na kukuta teyari taa za barabarani zimefungwa na teyari zinafanya kazi. Hakika kunavutia japo magari bado ni machache.
Ukiacha kukosa utu na makandokando mengine, mji juu ni urithi mzuri aliotuachia Mwendazake na tumshukuru Mama kwa kuendeleza.
Mji huu nimeupenda sana na ninapanga kununua kiwanja na kujenga maeneo ya jirani na huu mji.
Hongera kwa wote waliohusika katika ku- design huu mji ambao ukikakamilka kama ulivyopangwa, basi eneo hili litakuwa kivutia kizuri kwa watanzania na wageni.
A very nice city!
Mbona muongozo ushatolewa January utekelezaji unaanza rasmi. WaTanzania walipiga vigeregere so unafiki ni jadi yetu hata kwa JPM nako walikua wanamshangilia kinafiki tu ila moyoni walikua wanampinga.Nionyeshe mwanafunzi hata mmoja ambaye anamimba anaendelea na masomo!! Siasa hizo.
Hata makaburu waliijenga sana South Africa lakini haiondoi ukweli kuwa walikua na makando kando mengi sana. Same to JPM uchapakazi wake haukuwa na shaka ila haibadili ukweli kwamba alikua na makando kando mengi sana hasa kwenye eneo la uongozi.Waliotoa wazo, kubuni, kufanya uamuzi na kuanza kutekeleza wote mliwapuliza kwa puto halafu sasa mnajifanya kwenda kufurahia mandhari huku mkimpongeza mtu ambaye alikuwa anapingana na uanzishwaji wake.........kweli wamajini mna shida sana.
JPM hakuwa na makandokando kama unavyodai ila wewe kwa kurejeea ndio ulikuwa na makando kando mengine tu mpaka ulikuwa unatamani kwenda Rwanda kupitia barabara ya Nyakanazi
JPM was very bright, patriotic, and compassionate for his people whose quality performance delivery shall prevail for ages to come.
lio
Mbowe na Lissu watakumbukwa kwa lipi nchini?Hata Hitler anakumbukwa kwa mazuri yake.
We value his quality performance delivery for his people and not based on the political arena as you prefer to be accorded that merely benefits the gluttonous politicians. His outstanding performance shall persist and prevail to be a benchmark for the 50 years to come. Your personal hatred against him is a clear indication you were among the crooks who had been exploiting the citizens for personal advancement.Hata makaburu waliijenga sana South Africa lakini haiondoi ukweli kuwa walikua na makando kando mengi sana. Same to JPM uchapakazi wake haukuwa na shaka ila haibadili ukweli kwamba alikua na makando kando mengi sana hasa kwenye eneo la uongozi.
Msifiche udhaifu kwenye uchapakazi, yaani mfano kwa kuwa Mimi ni mhasibu mzuri haiwezi badili kwamba ni mlevi au mzinzi!!
Which hatred? I'm against your double standards of thinking that development and service delivery can be a cover up of his authoritarian rule!!We value his quality performance delivery for his people and not based on the political arena as you prefer to be accorded that merely benefits the gluttonous politicians. His outstanding performance shall persist and prevail to be a benchmark for the 50 years to come. Your personal hatred against him is a clear indication you were among the crooks who had been exploiting the citizens for personal advancement.
Lissu ana mchango mkubwa kwenye kutetea wakazi wa maeneo ya migodini walioathirika na uchimbaji wa kinyonyaji.Mbowe na Lissu watakumbukwa kwa lipi nchini?